Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Ni kweli kabisa, kuna sehemu Kila siku kuanzia saa saba wanawake wanacheza uchi kabisa...
 
Kabla ya wakoloni kutuleta nguo tulikuwa olmost tunatembea uchi, hakuna cha ajabu hapo
 
Kwani wanaoenda kwenye kumbi za starehe Wana umri gani?.. Tuanzie hapo mkuu
 
Mleta mada acha kuchanganya watu, hakuna kumbi ya starehe ambayo watu wanacheza uchi wa mnyama na kufanya ngono

ww umeona ile clip ya yule kijana aliyevaa jezi ya yanga ndo ukajumuisha kwamba ndo tabia inayofanyika kwenye kumbi za starehe

Kama sipo sahihi, taja hizo sehemu nyingine ulizoona watu wakicheza uchi wa mnyama tofauti na ile clip, kama huwezi kutaja basi hapakuwa na umuhimu wa kujadili kitu ambacho hatuna uhakika nacho na wala hatukuamini kwasababu hakuna ushahidi wa sehemu wala picha

Tanzania bado tupo nyuma sana kwenye hayo mambo, hatuna ustaarabu wa kuvumilia mambo kama hayo watu wangeliwa sana huko club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…