Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Waongelee wapi?
 
Kipindi cha Kikwete wapinzani walisema sana kuhusu katiba mpya, Kikwete akasikia sababu angalau yeye alikua Rais msikivu na Mwanademokrasia. Akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini uliishia hewani.

Awamu hii wapinzani wamendelea kusema sana kuhusu swala la katiba mpya lakini serikali ya Magufuli imeweka pamba masikioni. Haitaki kuisikia kabisa swala la katiba mpya.

Tukumbeke Rais wa sasa ana elements zote za udikteta, asiyeheshimu na kupenda maswala ya demokrasia, hivyo acha turuhusu damu imwagike ktk kupigania uhuru sababu uvumilivu unakikomo.
 
ndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi

infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
 
Wananchi gani hao watakao tunyoosha[emoji23][emoji23]
 

Taarifa yako ina ukweli wa nusu nusu. Katiba mpya ilisukumwa sana na Slaa baada ya kukatalia matokeo ya Uchaguzi ule wa mwaka 2010; na kukawa na msukumo sana wa kudai katiba mpya kwa nia ya kuwa matokeo ya Rais yaweze kupingwa mahakamani kama ambavyo ilikuwa ni dhahiri mwaka ule kulikuwa na dalili kuwa kuna kura zilikuwa zimechakachuliwa.

Kikwete alikuwa amepta kura chache sana na ndipo akaja na mambo mawili, kwanza la kujivua gamba, na pili ni hilo la la tume ya Waryoba. Hata hivyo Tume ya Waryoba ilipopeleta maoni yake, yakawekwa kapuni na tena na serikali hiyo hiyo ya Kikwete; kumbuka vijana wa CCM nadhani wakiongozwa na Makonda walivyomshambulia jaji Waryoba, na matokeo yake Makonda akawa Mkuu wa Wilaya. Vile vile mmoja wa Mwajumbe wa tume alishambuliwa na kuuwawa.

Kuanzia hapo hakujakuwapo msukumo mwingine wenye nguvu kama ule wa 2010; unayoona leo yanaitwa manung'uniko, lakini siyo msukumo wa kudaia katiba mpya.
 
JPM katili sana, kitendo cha kumchapa Lissu zile mvua za risasi hakitasahaulika vizazi na vizazi.

No one has evidence of the act, alafu kingine, George Floyd aliuliwa na camera kabsa zna ushahidi dunia nzima ilismama kwa ajili yake! leo story zake zko wap?
We are a self destructive creatures and which is normal, kila kona duniani kuna matatizo: izi ni kampeni tu bro chil relax wait uchaguzi uishe amna mtu atakua na ham ya kumskiliza uyo kichaa
 
no one has evidence of the act, alafu kingine, George Floyd aliuliwa na camera kabsa zna ushahidi dunia nzima ilismama kwa ajili yake! leo story zake zko wap?
we are a self destructive creatures and which is normal, kila kona duniani kuna matatizo
Unataka ushahidi upi zaidi ya ule wa kuondoa ulinzi siku ya tukio? Mikono ya JPM imejaa damu za wasio na hatia, muda utaamua.
 
Unataka ushahidi upi zaidi ya ule wa kuondoa ulinzi siku ya tukio? Mikono ya JPM imejaa damu za wasio na hatia, muda utaamua.

Unajua pia kuna wachama walijitokeza kabisa kusema cdm wanahusika na ilo shambulizi? and what if nkisema its true, its called falacy! yaani inshort ni kwamba cdm wengi ni bangi hakunga anything wanaweza kuongea kikawa na mashiko, we huoni mmebaki wenyewe mnapost na kucomment wenyewe
 
Kama CDM inahusika Serikali imechukua hatua gani hadi sasa? Basi itakuwa tuna GENGE LA WAPIGAJI TU HUKO IKULU, hatuna serikali kumbe.
Uchaguzi huu ni muhimu sana ili ipatikane Serikali sasa.
 
Wapiga kura wapo macho ngojeeni muone, cdm [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama CDM inahusika Serikali imechukua hatua gani hadi sasa? Basi itakuwa tuna GENGE LA WAPIGAJI TU HUKO IKULU, hatuna serikali kumbe.
Uchaguzi huu ni muhimu sana ili ipatikane Serikali sasa.

Usiniwekee maneno nmesema kuna watu ndo wamesema ivo, and pia inaweza kua anyone! inaweza kua majambazi pia wa kawaida, na inaweza pia kua bifu za siasa all are possible.

But kwa mtu ambae yuko timam huezi conclude kitu hauna evidence nacho, leo hii wakisema id yako ifuatiliwe mpaka ukamatwe useme toa ushahidi obvious hauna ushahidi so dont be lame
 
Sasa kama kuna watu wamesema hivyo na hakuna hatua zozote zile zilizochukuliwa hadi sasa, tuna serikali kweli? Hili GENGE LA WAHALIFU na WACHUMIA tumbo limekosa uhalali wa kuendelea kututawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…