Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Labda damu yakondio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
Watanzania wanajielewa sana
Huwezi kumjaribu chizi eti kisa ni demokrasia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda damu yakondio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
Waongelee wapi?mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani. Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
Bungeni.Waongelee wapi?
Kwann una hofu sana umetenda makosa gani hawamu hii ya 5, huku si kuangaika! ila poleLabda damu yako
Watanzania wanajielewa sana
Huwezi kumjaribu chizi eti kisa ni demokrasia
Kipindi cha Kikwete wapinzani walisema sana kuhusu katiba mpya, Kikwete akasikia sababu angalau yeye alikua Rais msikivu na Mwanademokrasia. Akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini uliishia hewani.Swala la katiba lilipamba moto mwaka 2010 ndipo Kikwete akaunda Tume ya Waryoba; hata hivyo mapenedekezo ya tume yalipozimwa, hakuna aliyewahi kuliongelea tena kwa msukumo. Kuna manung'uniko ya mara kwa mara lakini siyo msukumo wenye nguvu; kila mwaka bajeti ya Wizara ya Sheria na katiba hupita misukosuko yoyote ya kudai katiba mpya. Huwa ni manung'uniko tu.
kweli jisikie aibu kwani hujui kujibu mada yaani unakimbili vijambo vya kijiweni tu; kama huna elimu siyo kosa langu na siwezi kukusaidia.
ndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
mbona unakuwa mkali mzee,,,,kuwa mpole, muda utaongeaLabda damu yako
Watanzania wanajielewa sana
Huwezi kumjaribu chizi eti kisa ni demokrasia
Wananchi gani hao watakao tunyoosha[emoji23][emoji23]infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Kipindi cha Kikwete wapinzani walisema sana kuhusu katiba mpya, Kikwete akasikia sababu angalau yeye alikua Rais msikivu na Mwanademokrasia. Akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini uliishia hewani.
Awamu hii wapinzani wamendelea kusema sana kuhusu swala la katiba mpya lakini serikali ya Magufuli imeweka pamba masikioni. Haitaki kuisikia kabisa swala la katiba mpya.
Tukumbeke Rais wa sasa ana elements zote za udikteta, asiyeheshimu na kupenda maswala ya demokrasia, hivyo acha turuhusu damu imwagike ktk kupigania uhuru sababu uvumilivu unakikomo.
Wananchi gani hao watakao tunyoosha[emoji23][emoji23]
Wananchi gani hao watakao tunyoosha[emoji23][emoji23]
Damu ya Jiwe itamwagikaLabda damu yako
Watanzania wanajielewa sana
Huwezi kumjaribu chizi eti kisa ni demokrasia
cheki jamaa wenu uku mpaka anatia huruma
JPM katili sana, kitendo cha kumchapa Lissu zile mvua za risasi hakitasahaulika vizazi na vizazi.
Unataka ushahidi upi zaidi ya ule wa kuondoa ulinzi siku ya tukio? Mikono ya JPM imejaa damu za wasio na hatia, muda utaamua.no one has evidence of the act, alafu kingine, George Floyd aliuliwa na camera kabsa zna ushahidi dunia nzima ilismama kwa ajili yake! leo story zake zko wap?
we are a self destructive creatures and which is normal, kila kona duniani kuna matatizo
Unataka ushahidi upi zaidi ya ule wa kuondoa ulinzi siku ya tukio? Mikono ya JPM imejaa damu za wasio na hatia, muda utaamua.
Kama CDM inahusika Serikali imechukua hatua gani hadi sasa? Basi itakuwa tuna GENGE LA WAPIGAJI TU HUKO IKULU, hatuna serikali kumbe.Unajua pia kuna wachama walijitokeza kabisa kusema cdm wanahusika na ilo shambulizi? and what if nkisema its true, its called falacy! yaani inshort ni kwamba cdm wengi ni bangi hakunga anything wanaweza kuongea kikawa na mashiko, we huoni mmebaki wenyewe mnapost na kucomment wenyewe
Kama CDM inahusika Serikali imechukua hatua gani hadi sasa? Basi itakuwa tuna GENGE LA WAPIGAJI TU HUKO IKULU, hatuna serikali kumbe.
Uchaguzi huu ni muhimu sana ili ipatikane Serikali sasa.
Sasa kama kuna watu wamesema hivyo na hakuna hatua zozote zile zilizochukuliwa hadi sasa, tuna serikali kweli? Hili GENGE LA WAHALIFU na WACHUMIA tumbo limekosa uhalali wa kuendelea kututawala.usiniwekee maneno nmesema kuna watu ndo wamesema ivo, and pia inaweza kua anyone! inaweza kua majambazi pia wa kawaida, na inaweza pia kua bifu za siasa all are possible, but kwa mtu ambae yuko timam huezi conclude kitu hauna evidence nacho, leo hii wakisema id yako ifuatiliwe mpaka ukamatwe useme toa ushahidi obvious hauna ushahidi so dont be lame