Sasa kama kuna watu wamesema hivyo na hakuna hatua zozote zile zilizochukuliwa hadi sasa, tuna serikali kweli? Hili GENGE LA WAHALIFU na WACHUMIA tumbo limekosa uhalali wa kuendelea kututawala.
Kama ni hivyo basi hatuna serikali, tuna genge la WAHALIFU tu linalotawala kwa mkono wa chuma.and thats a good thing, kila mtu anaongea lake and ofcourse imekua ushabiki sasa na imepitiliza imekua itikadi ya chama, so pathetic
Kama ni hivyo basi hatuna serikali, tuna genge la WAHALIFU tu linalotawala kwa mkono wa chuma.
Unataka ushahidi upi zaidi ya huo? Hili genge la WAHALIFU linalotawala sasa basi,Yatosha.ongea vitu vyenye ushahidi wacha kua na assumptions, hata biblia inaktaza kumshudia mwenzako uongo, mada za kuweka ni mezani ni mfano kwanini mwenyekiti wenu anatumia nguvu hataki kuachia wengine wawe wenyekiti, mfano zitto mpaka akaenda kuanzisha chama kingine, inside chadema baadhi nawajua kabisa hawana ham na huyo lissu mnaompaka mafuta kila sku infact kura za awali hata hakuongoza lissu,
Swali:Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu,hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Wakifanya ujinga nguvu ya umma ndo itasitisha uchaguzi. Sio mahakama wala Tume. Wasithubutu mwaka huu nakwambia. Watatupiga risasi wote na ICC watafika.Swali:Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu,hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Kaijage binafsi atawekewa vikwazo vya kutokanyaga Nchi kibao na pia aweza kushitakiwa mahakama za kimataifaHuyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu.
Hata uchaguzi idadi ya wapiga kura itakuwa ndogo sana wengi watasusa kwenda kupiga kura maana wataona hakuna haja tenaWakifanya ujinga nguvu ya umma ndo itasitisha uchaguzi. Sio mahakama wala Tume. Wasithubutu mwaka huu nakwambia. Watatupiga risasi wote na ICC watafika.
Mahakama aliondoka nayo Jaji Barnabas Samatta. Kidogo na Jaji Ramadhani ( Mungu Amrehemu). Hawa ndo walikuwa na Mahakama sio uchafu kina Jaji Chande na huyu Jaji Juma. Hawa ni watu walio majaj huku wakiwa hawajui maana ya kuwa Jaji. Hakuna Jaji Mwenye akili anaekubali maagizo ya wanasiasa kwa sababu kinafasi Jaji ni mtu mkubwa sana kiasi ambacho hata ukikata maagizo ya wanasiasa hawawezi kukufanya kitu na utaendelea tu kuwa Jaji.Swali:Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu,hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Huko ni mbali sana! Wakifanya ujinga wa kumuengua mgombea wa wananchi. Hapatakalika nakwambia. Wasithubutu!!Hata uchaguzi idadi ya wapiga kura itakuwa ndogo sana wengi watasusa kwenda kupiga kura maana wataona hakuna haja tena
Ulitaka wafanyaje? Bungeni limesemwa sana ..wakiongea na waandishi wa habari wanaongea sana.Swala la katiba lilipamba moto mwaka 2010 ndipo Kikwete akaunda Tume ya Waryoba; hata hivyo mapenedekezo ya tume yalipozimwa, hakuna aliyewahi kuliongelea tena kwa msukumo. Kuna manung'uniko ya mara kwa mara lakini siyo msukumo wenye nguvu; kila mwaka bajeti ya Wizara ya Sheria na katiba hupita misukosuko yoyote ya kudai katiba mpya. Huwa ni manung'uniko tu.
Kweli jisikie aibu kwani hujui kujibu mada yaani unakimbili vijambo vya kijiweni tu; kama huna elimu siyo kosa langu na siwezi kukusaidia.
Unayozungumza ndiyo yanaitwa manung'uniko. Kama hujui, mwaka 2010 mimi nilikuwa mmoja wa walioshiriki kushinikiza katiba mpya, ukiwa na bahati ya kutafuta post zangu hapa kabla ya 2010 utaliona hilo. Tatizo hapa ni kuwa kuna wanung'unikaji na walalamikaji wengi kuliko watafuta mabadiliko kweli. Kama hujui kutafuta mabadiliko using'ang'anie kuwa kiongozi wa mabadiliko hayo!!!Ulitaka wafanyaje? Bungeni limesemwa sana ..wakiongea na waandishi wa habari wanaongea sana.
Ulitaka waandamane au kwenye mikutano ya hadhara wakati jiwe kaizuia?
Madai hayo yapo kwa 100%.
Juzi shekh Ponda unajua kashikiwa nini?
Chizi ni mamako anayegombaniwa huku mtaani na masela!Nafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini🤣😂🤣! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
Wakuu hakuna haja ya kuigawana Tanzania bali ni kushughulika na hao watakaotoa maamuzi ya kishenzi! Siasa za Kenya wakati mwingine huwa nazipenda sana, ukileta ujinga wanakuokota kwenye vilima vya Ngong shenzy type! Sasa huyu Jaji mpuuzi anatakiwa mwisho wa siku apigwe msumari wa moto kwenye huo upara!Nakuhakikishi kwamba huu waweza kuwa ndio mwisho wa Tanzania kuwepo duniani
Na ww pia itabidi ulazwe milembe na kichwa mwenzenu aliyetoroka mental hospital ubelgiji! Hii ni kwa usalama wenu wenyewe🙆! By the time mtakapokuwa mnaruhusiwa naamini ushoga utakuwa umepungua Kama hamtaendekeza huo ushoga wodini!Chizi ni mamako anayegombaniwa huku mtaani na masela!
UpotoloNafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini🤣😂🤣! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
Of course Kama fuvu lako limeujaza huo unawezaje ona vinginevyo🤣😂🤣! Hongera kwa kuwakilisha vyema kilichopo fuvuni mwako!Upotolo