stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Sasa kama kuna watu wamesema hivyo na hakuna hatua zozote zile zilizochukuliwa hadi sasa, tuna serikali kweli? Hili GENGE LA WAHALIFU na WACHUMIA tumbo limekosa uhalali wa kuendelea kututawala.
And thats a good thing, kila mtu anaongea lake and ofcourse imekua ushabiki sasa na imepitiliza imekua itikadi ya chama, so pathetic