Assume kwamba wangezungumzia unafikiri ingesaidia nini kwa mazingira yalivyo.Mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani.
Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
Nadhani Mungu tumemuomba sana,Kama Mungu ametuepusha na corona iliyoua maelfu ya watu duniani kote anashindwa kumuondosha mtu anapanga kuharibu nchi yetu,? Nadhani tulipaswa tuombe kuwa huyu mwenyekiti na wale anaoshirikiana nao kupanga huo ujinga wamfate BWM as soon as possibleMkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,
NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Pakiwepo haki amani inatawala.Haki ikikosekana sahau hiyo kitu amaniDamu imwagike kwa lengo gani yani. Ebu acheni uchochezi bwana. Tuishi kwa Amani hapa kwetu. We should negotiate and take the positive as it is while changing the negative one. Then we will proceed
Mkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,
NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Vipi kama sababu za kaijage zitakuwa ziko kikatiba?Huyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu.
Hata mimi wamenishangaza sana. Inaonekana hawana sifa.Mbona mna angaika Sana tulien jamani mana mnavyo angaika inaonesha wazi waz kua hamjakamilika [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Naona damu yako haramu ikianza kumwagikaMkuu unaishi Nchi gani? Mbona wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu kua na katiba mbovu miaka nenda rudi!
Sikio la kufa halisikii dawa, ni mda wa damu kumwagika tu. Mwisho wa uvumilivu umefika.
Ndivyo nilikuwa nafikiria, kwa nini hili suala tuwaachie polisi, inatakiwa wa nchi tuwashughulikie hawa wahuni.infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Kuna Mtu mmoja hana sifa, anaitwa TLSSwali:Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu,hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Nafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
Watakuambia ni ya zamani hiyoshukuruni tu polisi
Mbw koko wewNafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
🤣😂🤣 Dawa inakuingia eeh! Ukweli ndio huo! Hayo ya mbwa Koko yanakuhusu mwenyewe, mm Sina ushirika mayo🤣😂🤣!Mbw koko wew
Unamjua naetunga sheria ni nani?Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu, hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Anauliza mavumbi stoo marehemu alipendekeza tume ili iwe huru lazima iwashirikishe wapinzaniMkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,
NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Jidanganye mkuu, Tanzania hakuna amani kuna uwoga, endapo akitokea mtu kikundi cha watu kikawatia munkari Watanzania na kikiwaka itakuwa balaa, maana Watanzania wana maumivu makubwa sana moyon sema ndo hivyo, hasa vijana ambao maisha yamewapiga hasa, Hakuna ajira, ukifungua kibiashata TRA wanakuja km nyuki na ukifanikiwa kwa TRA biashara ni ngumu balaa..infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Jidanganye mkuu, Tanzania hakuna amani kuna uwoga, endapo akitokea mtu kikundi cha watu kikawatia munkari Watanzania na kikiwaka itakuwa balaa, maana Watanzania wana maumivu makubwa sana moyon sema ndo hivyo, hasa vijana ambao maisha yamewapiga hasa, Hakuna ajira, ukifungua kibiashata TRA wanakuja km nyuki na ukifanikiwa kwa TRA biashara ni ngumu balaa..
Lakini mkuu makosa ni ya Kikwete na serikali ya CCM aliyetulambisha pipi ya katiba, bila kutupa hiyo katiba. Huku tukiwa tumetumia mabilioni ya fedha za walipa kodi.Mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani.
Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.