Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani.

Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
Assume kwamba wangezungumzia unafikiri ingesaidia nini kwa mazingira yalivyo.
 
Mkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,

NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Nadhani Mungu tumemuomba sana,Kama Mungu ametuepusha na corona iliyoua maelfu ya watu duniani kote anashindwa kumuondosha mtu anapanga kuharibu nchi yetu,? Nadhani tulipaswa tuombe kuwa huyu mwenyekiti na wale anaoshirikiana nao kupanga huo ujinga wamfate BWM as soon as possible
 
Damu imwagike kwa lengo gani yani. Ebu acheni uchochezi bwana. Tuishi kwa Amani hapa kwetu. We should negotiate and take the positive as it is while changing the negative one. Then we will proceed
Pakiwepo haki amani inatawala.Haki ikikosekana sahau hiyo kitu amani
 
Kwa seif it can't be,
Mkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,

NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
 
Hakuna haja ya kuandamana kwani kwa hawa polisi wanaoamini kuwa wao kazi yao ni kulinda mtawala na chama chake wataua watu wasio na hatia bure.

Njia pekee ni hawa wahisani waache kuufadhili huu utawala na mwaka 2021 kabla haujaisha utakuwa umesambaratika na kujifia wenyewe. Hii serikali bila ufadhilii haiwezi kuwepo. It's as simple as such.
 
Mkuu unaishi Nchi gani? Mbona wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu kua na katiba mbovu miaka nenda rudi!

Sikio la kufa halisikii dawa, ni mda wa damu kumwagika tu. Mwisho wa uvumilivu umefika.
Naona damu yako haramu ikianza kumwagika
 
infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Ndivyo nilikuwa nafikiria, kwa nini hili suala tuwaachie polisi, inatakiwa wa nchi tuwashughulikie hawa wahuni.
 
Swali:Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?

Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu,hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Kuna Mtu mmoja hana sifa, anaitwa TLS
 
Nafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana siyo kwa uchizi huu I see!

Lazima umuone chizi kwa kuwa haya unayoyaona ni mageni kwetu lakini kwa duniani huwa ni makubwa kuliko haya
 
Nafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
Mbw koko wew
 
Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?

Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu, hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Unamjua naetunga sheria ni nani?
Si huyo huyo aliemteua M/Kiti wa NEC?

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,

NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Anauliza mavumbi stoo marehemu alipendekeza tume ili iwe huru lazima iwashirikishe wapinzani
 
infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Jidanganye mkuu, Tanzania hakuna amani kuna uwoga, endapo akitokea mtu kikundi cha watu kikawatia munkari Watanzania na kikiwaka itakuwa balaa, maana Watanzania wana maumivu makubwa sana moyon sema ndo hivyo, hasa vijana ambao maisha yamewapiga hasa, Hakuna ajira, ukifungua kibiashata TRA wanakuja km nyuki na ukifanikiwa kwa TRA biashara ni ngumu balaa..
 
kwan KOSA la TRA kudai kodi ni nn? hio ni lzima na sio ombi, alafu wacheni kusemea mioyo ya wengine! hao hao mnaodai mnawasemea ndo kabisaa hawataki kuskia chadema mfano juzi mbowe alienda jimboni akanusurika kipigo kutoka kwa wananchi ni basi tu polisi walimwokoa, hao hao mnaowasemea ndo mlikua mnajaribu kuwapungia dodoma mkabaki kupungia miti, alafu ccm haiwezi kutoka madarakani mpaka 2100 , pole pole alishasema kabisa
 
Mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani.

Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
Lakini mkuu makosa ni ya Kikwete na serikali ya CCM aliyetulambisha pipi ya katiba, bila kutupa hiyo katiba. Huku tukiwa tumetumia mabilioni ya fedha za walipa kodi.

Pammoja na hilo ,wewe kwa akili zako kwa serikali ya Mjomba Magufuli na Bunge la Spika Ndugai unadhani wangesikilizwa kwa uchache wao?

Je umesahau kilichotokea CUF ya Maalim Seif kugoma kurudia kupiga kura visiwani baada ya Jecha kugunduwa Maalim Sief kamshinda Raisi wa Zanzibar?

Au yaliyowapata wapinzani kususia chaguzi za serikali ya mitaa mwaka jana?
Haya tuachie Mungu,tujipange upya kuanzia 2025
 
Back
Top Bottom