Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
Ufanisi utatoka wapi shule watoto mia tano mzee mwalimu atalaumiwa bure hapoKwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Shule za uswahilini hizo..Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Walimu sometimes wanalaumiwa bure. Hebu tazama idadi ya wanafunzi waliopo kwenye hilo darasa na utakuta kila somo lina mwalu 1. Hivi mwalimu atawezaje kusahisha na kufuatilia maendeleo ya kila mwànafunzi. Yaani mwalimu asahishe madftari zaidi ya 500? Hii ni bora elimu si elimi bora.Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Lazima wanafunzi na walimu...wote wana shida..Hizo shule wanafunzi wanachojua kupigana miti vyooni na madarasani
Unaposema darasa moja una maana gani?? Si kuna mikondo bro..mimi pia nimesoma kayumba tulikuwa zaidi ya mia mbili mikondo 3...sema tuu watoto wa siku hizi wana mambo mengiiWalimu sometimes wanalaumiwa bure. Hebu tazama idadi ya wanafunzi waliopo kwenye hilo darasa na utakuta kila somo lina mwalu 1. Hivi mwalimu atawezaje kusahisha na kufuatilia maendelep ya kila mwànafunzi. Yani mwalimu asahishe madftari zaidi ya 200? Hii ni bora elimu si elimi bora.
Na serikali inalijua hilo ndio maana wanasema hadi div 4 kafaulu
Kwahiyo walimu wa kiswahili ndo wanaeleweka!!Aiseee ..hapa hamna shule..View attachment 2474026
Mimi nimesoma sekondari o level ya serikali sema haikuwa shule ya kata bali shule kongwe za kitambo tulikuwa na mikondo minne a mpaka d kwa kila darasa na kila darasa lilikuwa na wanafunzi wasiozidi 35 na hiyo mikondo sio ya kuingia kwa kupokezana, hapana kila kidato kilikuwa na madarasa manne.Unaposema darasa moja una maana gani??.si kuna mikondo bro..mimi pia nimesoma kayumba tulikua zaidi ya mia mbili mikondo 3...sema tuu watoto wa siku hizi wana mambo mengii
Labda hapo kama mwalimu wa somo ni mmoja shida ipo aisee..