Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuta hizo IV ni baada ya ku standardise zaidi ya mara mbili kama yale ya Big Resilts NowKwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Mi nikajua uzi wa Mpwayungu [emoji3][emoji3][emoji3]Aione:Mpwayungu Village
Hii ni hatari kubwa... Wanafunzi 500, hakuna division I.. hapana ..hapa na walimu hamuna..Wanafunzi wa siku hizi ni wapumbavu. Hawafundishiki sababu wazazi hawawalei ipaswavyo.
Tutegemee bomu la makahaba, vibaka, majambazi maana hata serikali ikiwafaulisha bado watafeli tu
Kama matokeo ndio hayo, kwa maoni yangu hawastahili kulilia nyongeza ya mshahara. Nyongeza ya mshahara tafsiri yake ni motisha; sasa utampa motisha mtu asiyefanya kazi aliyoajiriwa?Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Mkuu siku hizi wote wanaenda form I....hivi hizo div 4 nazo zinaenda form 3?Hii ni hatari kubwa... Wanafunzi 500, hakuna division I.. hapana ..hapa na walimu hamuna..
Kuna shida kubwa kwenye elimu yetu..
Wa shule hiyoo..Kama matokeo ndio hayo, kwa maoni yangu hawastahili kulilia nyongeza ya mshahara. Nyongeza ya mshahara tafsiri yake ni motisha; sasa utampa motisha mtu asiyefanya kazi aliyoajiriwa?
Kwa taarifa yako mwanafunzi anayejielewa, hawezi kumtegemea mwalimu kwa 100% ili afaulu! Isipokuwa 25% tu.Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Hizo four zote form three mzee.. na wanalipiwa, elimu bure.Mkuu siku hizi wote wanaenda form I....hivi hizo div 4 nazo zinaenda form 3?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kutakuwa hakuna shule jirani...Serikali nayo kujaza darasa la wanafunzi 500 kwenye shule moja nayo ni akili, au ni matope?
Kabisa... The worst is coming..Elimu yetu ipo kisiasa zaidi,, na bado
Mkuu ukiangalia tu idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani huu, utagundua shule ina mrundikano mkubwa wa wanafunzi. Ikiwa serikali inaruhusu darasa moja liwe na wanafunzi 150 unadhani mwalimu anawezaje kumudu kufundisha na kutoa mazoezi kwa darasa kubwa kama hilo? Lawama zote ni kwa serikali sikivu ya CCM.Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Mbona wana matokeo mazuri sana, au wewe ulitaka yaweje ?Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.