Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Walimu na wanafunzi wote vichwa Maji tuAione:Mpwayungu Village
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu na wanafunzi wote vichwa Maji tuAione:Mpwayungu Village
Mbona umeisahau Gine kaka...niliwahi kukaa huko. Madirisha yanakatwa sana nyavu usiku😂😂[emoji28] Kaka kweli unaijua vizuri,..madoto, barafu Hadi mitaa ya kanisani..uhuni mtupu..kukabwa nje nje...watoto wadogo wanatembea na nyembe na bisibisi..
Wote malofer tu[mention]Mpwayangu village [/mention] njoo uone walimu wako uliowatetea jana maajabu yao kwa watoto wetu
Kabisa MkuuWalimu na wanafunzi wote vichwa Maji tu
🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Wote malofer tu
Kwa idadi hii ya wanafunzi namahali shule ilipo sitegemei kuona wakifanya maajabu.
Na wasiwasi huenda jumla ya wanafunzi kidato cha 1 hadi 4 ikawa >3,500
Idadi ya waalimu ikawa <35 na 5 wakawa na nafasi za uongozi bila kuhusika na ufundishaji.
Ifike mahali wizara husika ichapishe idadi ya waalimu na wanafunzi kila shule kila mwaka ili tuweze kudadavua na kujua tatizo lipo kwa wanafunzi pekee au uhaba wa waalimu pia ni chanzo.
Haahaa .Kwanini serikali isibadilishe Walimu wote kwenye hyo shule ili kuleta wengine ili kuongeza ufanisi??
Kama hii shule ina walimu 200 basi wawajibishwe haraka iwezekanavyo..Sio kweli shule nyingi Dar zina waalimu zaidi ya 200, kimsingi waalimu kwenye majiji yote wametosha na wamezidi, upungufu upo vijijini tu, tena masomo ya sayansi
Wanahali ngumu wananuka shidaKabisa Mkuu
Walimu Wetu Wana Hali Ngumu Sana Wanatakiwa Walipwe Millions 50 Kwa Mwezi
kweli kabisa kichwani hamna kitu kuna siku nilipanda na wanafunzi wa form 2 nikawa uliza state the law of flotation hakuna aliyejibu wakati mm nimemaliza shule miaka karibia 9 najua sijashau mpaka leo nilichogundua vichwa vya wanafunzi wa leo vimejaa mapenzi nyimbo za bongo fleva na singeli sasa je masomo yatakaa wapi akili zao zenyewe shake before use na low battery wataweza kweli kuelewa masomoHao wanafunzi wenyewe wa mitaa hiyo ya mburahati manzese na maeneo jirani tabia zao unazijua zilivyo?? Hao hata uwajazie waalimu kwa ratio ya 1:1 bado watafeli tuu
Hyo mitaa ni ya vigodoro dailykweli kabisa kichwani hamna kitu kuna siku nilipanda na wanafunzi wa form 2 nikawa uliza state the law of flotation hakuna aliyejibu wakati mm nimemaliza shule miaka karibia 9 najua sijashau mpaka leo nilichogundua vichwa vya wanafunzi wa leo vimejaa mapenzi nyimbo za bongo fleva na singeli sasa je masomo yatakaa wapi akili zao zenyewe shake before use na low battery wataweza kweli kuelewa masomo
Timiza wajibu, pokea mshahara songambeleHyo mitaa ni ya vigidoro daily
Yani mitaa ya sasambua...
Unategemea nini? Mwalimu ukijitia mdomo wanakuloga mchana kweupeee au unatumiwa panya Road