blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
What do you mean!?? What is the latter and the former!?😳What if the latter caused the former?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean!?? What is the latter and the former!?😳What if the latter caused the former?
Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?Walimu sometimes wanalaumiwa bure. Hebu tazama idadi ya wanafunzi waliopo kwenye hilo darasa na utakuta kila somo lina mwalu 1. Hivi mwalimu atawezaje kusahisha na kufuatilia maendelep ya kila mwànafunzi. Yani mwalimu asahishe madftari zaidi ya 500? Hii ni bora elimu si elimi bora.
Na serikali inalijua hilo ndio maana wanasema hadi div 4 kafaulu
Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Haiwezekani....Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?
Na walimu wamepewa vishikwambi🤭😁Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Hayo madaftari si nitayasahihisha siku 2 mpk 3 maana hapo kuna vipindi vingine vya kufundisha.Haiwezekani....
Ndo gharama ya serikali kuchukua jukumu lisilo wahusu.Hii ni hatari kubwa... Wanafunzi 500, hakuna division I.. hapana ..hapa na walimu hamuna..
Kuna shida kubwa kwenye elimu yetu..
Bora umesema hili mkuu. Hapo hata kama raisi akienda kufundisha bado watafeli tuShule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.
Hao wanafunzi wengi wa shule hiyo dada zao ndio wavaa madera wanaocheza singeli kwa kutikisa makalio (chura)
Halafu kaka zao ndio panya road, yaani huko Mburahati unaweza ukakabwa mchana kweupe.
Sasa mwanafunzi anajifunza nini hapo? Wazazi wake wachawi plus chuma ulete...
[emoji28] Kaka kweli unaijua vizuri,..madoto, barafu Hadi mitaa ya kanisani..uhuni mtupu..kukabwa nje nje...watoto wadogo wanatembea na nyembe na bisibisi..Shule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.