Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Walimu sometimes wanalaumiwa bure. Hebu tazama idadi ya wanafunzi waliopo kwenye hilo darasa na utakuta kila somo lina mwalu 1. Hivi mwalimu atawezaje kusahisha na kufuatilia maendelep ya kila mwànafunzi. Yani mwalimu asahishe madftari zaidi ya 500? Hii ni bora elimu si elimi bora.
Na serikali inalijua hilo ndio maana wanasema hadi div 4 kafaulu
Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?
 
Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.

Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.

Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.

Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?

View attachment 2474008

Halafu ipo katikati ya jiji la Dar Es Salaam

Namaanisha haipo pembezoni🙄
 
Shule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.

Hao wanafunzi wengi wa shule hiyo dada zao ndio wavaa madera wanaocheza singeli kwa kutikisa makalio (chura)

Halafu kaka zao ndio panya road, yaani huko Mburahati unaweza ukakabwa mchana kweupe.

Sasa mwanafunzi anajifunza nini hapo? Wazazi wake wachawi plus chuma ulete...
 
Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.

Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.

Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.

Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?

View attachment 2474008
Na walimu wamepewa vishikwambi🤭😁
 
Haiwezekani....
Hayo madaftari si nitayasahihisha siku 2 mpk 3 maana hapo kuna vipindi vingine vya kufundisha.
Kuwasaidia nitawaambia daftari lako mpe jirani yako. Chukua pensel, tunaanza kusahihisha ubaoni.
Swali la kwanza jibu ni A, km ameweka weka tiki. Hiyo ndiyo imetoka.
Kuna maisha baada ya kutoka shule (kazini), siwezi kuhangaika na madaftari mpk nyumbani. Na shuleni siwezi kuwa busy kusahihisha madaftari kwasabb kuna muda wa kufundisha, kuaandaa lesson plan, scheme of work, kuandaa notes na muda wa kupumzika.
 
Hii ni hatari kubwa... Wanafunzi 500, hakuna division I.. hapana ..hapa na walimu hamuna..

Kuna shida kubwa kwenye elimu yetu..
Ndo gharama ya serikali kuchukua jukumu lisilo wahusu.

Serikali ingepambana na wazazi walipe ada, maana sidhani kama mzazi anashindwa lipia 20,000 kwa mwaka
 
Shule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.

Hao wanafunzi wengi wa shule hiyo dada zao ndio wavaa madera wanaocheza singeli kwa kutikisa makalio (chura)

Halafu kaka zao ndio panya road, yaani huko Mburahati unaweza ukakabwa mchana kweupe.

Sasa mwanafunzi anajifunza nini hapo? Wazazi wake wachawi plus chuma ulete...
Bora umesema hili mkuu. Hapo hata kama raisi akienda kufundisha bado watafeli tu
 
Najiuliza hao wanafunzi 200 wanaorudia darasa wanaenda kukaa vyumba gani ...

Maana ni dhahiri kwamba form two wa mwaka huu hiyo shule huenda wamepungua au wako idadi hiyohiyo...
Sasa kama wako 400 jumlisha hao waliokariri 200... Total 600..

Hivi wanafunzi 600 kidato kimoja mnafundishaje..

Hivi hii nchi kuna vitu huwa vinatokea hupati majibu..
 
Shule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.

Hao wanafunzi wengi wa shule hiyo dada zao ndio wavaa madera wanaocheza singeli kwa kutikisa makalio (chura)

Halafu kaka zao ndio panya road, yaani huko Mburahati unaweza ukakabwa mchana kweupe.

Sasa mwanafunzi anajifunza nini hapo? Wazazi wake wachawi plus chuma ulete...
[emoji28] Kaka kweli unaijua vizuri,..madoto, barafu Hadi mitaa ya kanisani..uhuni mtupu..kukabwa nje nje...watoto wadogo wanatembea na nyembe na bisibisi..
 
Back
Top Bottom