Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Ni waalimu tu au na wanafunzi nao wana shida. Maana suala la kufaulu mwalimu akisha play part yake kama mwanafunzi haja play part yake ni lazima afeli tu, no way out. Na wanafunzi nao wachunguzwe pia.
 
Pole 🤣
 
Waongeze maslai....daktar anafundishwa na mwalimu ila mwisho wa siku anawazid mshahara na malupulupu kibao....!!! Changamoto hizi zitatatuliwa kwa serkal kujal maslai ya walimu kinyumechake wimbo ni uleule...!!!
 
Tafuta matokeo ya mbagala secondary school halaf uje ulete mrejesho
 
We uki
Nyie ndo mnao wa felishaa, afu lawama kwa walimu khaaaah
Nibania MBUSUSU. Saaa mm nkale mbususu ipi sasa !?? Hapoo pisi za hapo kumpa tuu 10k , matunzo ya hapa na pale kitoto kinatoa utelezi kama hakina akili nzuri yaaaani
 
We uki
Nyie ndo mnao wa felishaa, afu lawama kwa walimu khaaaah
Nibania MBUSUSU. Saaa mm nkale mbususu ipi sasa !?? Hapoo pisi za hapo kumpa tuu 10k , matunzo ya hapa na pale kitoto kinatoa utelezi kama hakina akili nzuri yaaaani
 
Mshahara wanadai vizuri sana,kwani wao ndio waliofanya mtihani?
 
Kama matokeo ndio hayo, kwa maoni yangu hawastahili kulilia nyongeza ya mshahara. Nyongeza ya mshahara tafsiri yake ni motisha; sasa utampa motisha mtu asiyefanya kazi aliyoajiriwa?
Unadhani hizo Division two na three zimejileta zenyewe ee ??jambo usilo kujua ni Kama Usiku wa Giza. Hiyo shule mnayo laumu waalimu utakuta Kila mwanafunzi anasimu Hapo. Tena sio Simi za batani Ila Smartphone,Sasa Hapo walimu watakuwa na maajubu Gani..?? Mwanafunzi anazijua lyrics za nyimbo za kina jux kuliko Definition za History na Laws na principles za Physics Mwalimu atafanyaje Hapo..??
Nyie acheni TU walimu wanapambama na Mambo mengi Sana ,hasaa wale wanafundisha shule za uswahilini Mijini na vijijini ndani ndani huko.
Kwa asili TU kufaulu Mitihani ni juhudi binafsi za mwanafunzi, Mwalimu ana provide 30-40 percent na zilizobaki ni za mwanafunzi mwenyewe. Utafauluje Mitihani ikiwa huendi kujisomea baada ya kufundishwa shuleni..?? Utakuwaje na matokeo mazuri Kama unaenda shule TU ili Afisa mtendaji au Afisa elimu kata asimpeleke mzazi wako polisi Kwa kuhujumu uchumi wa Nchi..?? . Wanafunzi hawana focus Wala concentration,hakuna anaejali Masomo Wala anae ogopa kufeli ,kwao hawaamini kabisa kwenye Elimu,wanaenda TU shule Kwa sababu wanatakiwa Kufanya hivyo sio Kwa sababu WANAPENDA na wanataka Kufanya hivyo Kwa Moyo wao wote.
Mimi nimesoma shule ya Tarafa iliokuwa na Mwalimu mmoja wa physics na Mwalimu mmoja TU wa Hesabu ambae ndo alikuwa Headmaster imagine headmaster ndo Mwalimu wa Hesabu. Na class kwetu tulikuwa 154 Lakini Mwaka tulio graduate kulikuwa na one Zaidi ya 50+ na wilaya nzima hakuna shule yoyote ya serikali ilio tushinda kwenye hesabu wala physics na shuleni kwetu alitoka mwanafunzi wa kwanza kiwilaya kwa shule za government alikuwa na One ya 08, na hiyo sio dar ,mwanza Wala Arusha . Hiyo ni Kigoma mwisho wa Reli. So Kama na sisi tunge tegea Kwa kuzingizia walimu unadhani hayo matokeo yangepatikana..??
Elimu ya Afrika ni Kama Mchezo wa mpira wa Miguu, It's not a coach that matters but the Player that Play.
Wanafunzi wa Shule za uswahilini ni Kama zigo la kinyesi lisipokushinda Kwa Uzito litakushinda Kwa Harufu.
Walimu wabarikiwe saana maan wanapambama na Mengi
 
Tatizo ni walimu na siyo wazazi Wala wanafunzi tena waondolewe tu, walimu wa siku hawaondoi ujinga kwa mwanafunzi Bali wanaongeza ujinga tu, Sasa mwalimu unaingia darasani na fimbo, chaki na kitabu cha kukopi topic bila maarifa au vifaa vya vitendo unategemea mwanafunzi afaulu? Wanafunzi niwajinga wanahitaji maarifa waondoe ujinga na siyo kuwawazia wivu au kutaka kufundisha kama unafundisha mtu mzima mwenzie bila kuleta maarifa ya ziada kwenye topic alafu ulaumu watoto na wazazi.
 
Kama misha

Kwanini serikali isibadilishe Walimu wote kwenye hyo shule ili kuleta wengine ili kuongeza ufanisi??
Labda ingebafilisha na Wanafunzi Woote kutoka hiyoo shule ilikuongeza Ufaulu. Otherwise itakuwa kuweka kiraka kipya kwenye Vazi kuukuu au kuoga na kurudia nguo chafu. Au kunawa miguu na kutoka peku bafuni hadi ndani.
Ani work done it will be equal Zero
 
Mwalimu hata akiwa 'mweupe' kiasi gani, kama kuna mwanafunzi ana akili na akipata material sahihi, anapasua paper...

Chanzo namba moja cha mwanafunzi kufeli huwa ni yeye mwanafunzi na mazingira yaliyomzunguka...
Nakubaliana na Wewe Asilimia mia. Tuisheni ni nyingi Sana now days Tena na hivi ni dar. Hapo hakuna haja kabisa hata robo ya waalimu kuangushiwa rungu.
Inshort TU HAKUNA WANAFUNZI HAPO,KUNA VIJANA WALIOENDA SHULE KUKUA
 
Ndo maana hakuna mahakama ya wema Ila waovu sababu Kila mtu anachukia ubaya na sio wema na hatusemi Kwa ubaya tunataka changes au Wewe hayo matokeo yamekufarahisha Mpaka tukae kimya ?? Na ukisema hayo ni mazuri sio kweli Wewe ZIRO zote hizo Tena form two alafu ukitaka tusifie infact TU walijitahidi Ila Bado wanasafari ndefu
🤣🤣🤣🤣 Eti "Kula tunda kimasihara"
Matokeo ya form two mwaka juzi haya..ubaya unavuma sana kuliko uzuriView attachment 2476484
 
Hayo yooote sio kwa Mburahati Ndugu yangu. Naona Wewe unataka ufananishe kyera au chunya na Mburahati bila shaka. Ngoja nikwambie mazingira ndio key factor ya Kila Kitu. Mburahati Wewe isikie hivyo hivyo. Kuanzia saa nanee TU kila nyumba Mziki uko juu Kama baa ya matapu tapu , mwanafunzi akitoka shule anakuta ugali kwenye hot pot hauna mboga ale Nini akili kichwani alafu Wewe unaleta habari za discussion sijui kuuliza maswali. Ani infact wanafunzi hizo akili za kusoma TU hazipo. Ingekuwa Enzi zile za Elimu ya kulipia Nusu ya darasa ingekuwa Isha acha shulee.
Hilo eneo na mazingira yake sio ya kuwa na shule ya day Hapo ni Bweni na wanafunzi wanatakiwa watoke mbali na wanafunzi wa maeneo hayo pia wapelekwe mbali kwenye shule nyingine z Bweni. Uhuru ni sumu Kwa watoto,hasa wa Uswahilini . Unakuta mtoto wa form one tayari anachoma sindano za Depo provera au anakipandikizi mkononi, what do you expect..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…