Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Darasa lina Amina 8, Asha 6, kina Ashura na Aziza. Unategemea nini haswa?
*Ni mtazamo tu, msilete chuki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kusema nn yaan???
 
WALIMU FANYENI KAZI KAMA WACHINA(fanya kazi kutokana na mshahara)

Mchina ukitaka simu ya 25k anakutengenezea, pia ukitaka ya 2.5M anakutengenezea pia

Hamna haja ya kuhangaika Hadi kufundisha overtime wakati hamna pesa ya ziada,

Mbona kazi nyingine wanapeana overtime na marupurupu
 
Aliyemuondoa headmistress Nyakunga kwenye hii shule alaaniwe sana. Shule imezungukwa na wauzaji/wavutaji madawa ya kulevya. Huyu mama aliwadhibiti kuanzia walimu hadi wanafunzi. Wanafunzi ni wengi sababu jengo jipya la shule (gholofa) lilipokamilika madarasa ya zamani yameendelea kutumika ni kama kuna shule mbili sasa.
 
Hao hawarudigi wachache sana wengi ndio shule imeishia hapo.
 
Kosa la kiufundi serikali kuanza kufaulisha hovyo mtihani wa la saba walienda secondary wanafunzi wenye uwezo mdogo.

Pili bado elimu ni siasa hao div 4 wote wamefeli ila mfumo wa siasa unawafosi waende form 3 matokeo yake form 4 hal inazidi kuwa mbaya.

Hawajiulizi kwann A level shule za serikali huwa zinafanya vizuri yote kwa sababu wanaochaguliwa au wanaoendelea wana sifa na wana kiu ya kusoma.

Shule za kata hasa za mjini wanafunzi wanasoma kwa kuwa ndio washachaguliwa kuendelea ila hawana muda na hyo elimu Serikali ijitafakari nje ya hapo tutazidi kumtafuta mchawi lakini kamwe hawez kupatikana.
 
Kwa mazingira ya mjini swez laumu mwalimu wala mwanafunzi wote hao wanachangamoto zao zinazo athiri ufundishaji na ujifunzaji.ni vema mamlaka zikaenda eneo husika kujifunza kuliko kuhukumu
 
Mwalimu hata akiwa 'mweupe' kiasi gani, kama kuna mwanafunzi ana akili na akipata material sahihi, anapasua paper...

Chanzo namba moja cha mwanafunzi kufeli huwa ni yeye mwanafunzi na mazingira yaliyomzunguka...
 
Yaani kwa ufupi wanatuandalia mbususu za kula bure bure
 
Mshangao aisee.
Ila yote haya ni kutokana na siasa za nchi yetu

Serikali isilazimishe watu kusoma, iache waje kuwa watumwa
 
Umegusa kwenye mshono, nimepiga sana kelele. Walimu wafanye kazi za ziada Zaid kuliko darasani maana mshahara wao ni mdogo
 
Mburahati na Kigogo ni ukanda wa watoto wanafundishwa kuvaa vijora na kucheza singeli. Vigoma vya Uruguayi haviishi huko. Elimu yao huko ni ya kukata viuno na kuchuna mabuzi.

Mtoto wa kike akishavunja ungo anaambiwa, "Humu ndani tunapika chai tu, vitafunwa katafute mwenyewe."

Akiwa kidato cha pili tayari anajua kulala na mwanaume na akirudi nyumbani kumpa mama yake hela ya kumnyamazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…