Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ungetafuta sababu za matokeo kuwa hivi ungekuwa umefanya la maana sana. Huku kuangalia outcome badala ya source, kumesababisha hukumu kuwa tofauti na uhalisiaKwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Upande huo hawana mpinzani hapa Bongo.Ila wanajua katikia
Siasa zimesababisha wazazi waache jukumu lao, sasa wanafunzi wanakuwa wajingaUpande huo hawana mpinzani hapa Bongo.
Kosa la elimu yetu ni moja tu ...kushindwa kuhusisha ufanisi wa wanafunzi na mishahara ya walimu ....inatakiwa shule inayo fanya vizuri ndiyo walimu walipwe vizuri na kupanda vyeo na madaraja kwa kuangalia ufanisi wa masomo kwa wanafunziKwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Singeli + Vigodolo + Betting + Ukabaji + Ngono + uswahili wa mitaa yao + hali ngumu ya maisha ya ile mitaa + ku’shade hesabu (shule ya msingi) + elimu bure (elimu ya huruma) ARE DIRECTLY PROPORTIONAL na hayo matokeo.....Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Walimu wa ilboru, kibaha, mzumbe ,tabora boys , hao ndio watajikuta wanalipwa mishahara mikubwa maana wanapelekewa cream.Kosa la elimu yetu ni moja tu ...kushindwa kuhusisha ufanisi wa wanafunzi na mishahara ya walimu ....inatakiwa shule inayo fanya vizuri ndiyo walimu walipwe vizuri na kupanda vyeo na madaraja kwa kuangalia ufanisi wa masomo kwa wanafunzi
mpwayungu villageKwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Hapa waalimu, wanafunzi, wazazi pamoja na serikali wote, hawajitambui!Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?
View attachment 2474008
Duh! aisee? Hata kama walimu ni wachache na wanafunzi ni wengi bado kuna kitu (sintofahamu) upande wa wanafunzi na wazazi wao.Wanafunzi mia tano darasa Moja walikua wengi sana yaani ni idadi ya shule nyingine kabisa. Kwahiyo hapo waligawanywa katika mikondo 6 au Saba. Kutokana na idadi ya walimu waliopo Kama ni wachache kufelisha ni jambo la kawaida.