Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
huyohuyo alikua n mwili nawajua bro wke alikua baharia uarabuni n achi yule alikua mpiga debe stendi kuu ya tbs ile ya zamani
Kumbe hata wewe unawafahamu vizuri. Huyo aliyekuwa akipiga mzigo pale stand na akiwa konda kwenye bus za kampuni ya Tanganyika Bus Services hasa yale yaliyokuwa yakienda route ya Musoma alikuwa anaitwa Achi. Alishafariki miaka mingi. Hata marehemu baba yao alikuwa akifanya kazi hapo Tanganyika Bus hadi alipofariki.