Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

huyohuyo alikua n mwili nawajua bro wke alikua baharia uarabuni n achi yule alikua mpiga debe stendi kuu ya tbs ile ya zamani

Kumbe hata wewe unawafahamu vizuri. Huyo aliyekuwa akipiga mzigo pale stand na akiwa konda kwenye bus za kampuni ya Tanganyika Bus Services hasa yale yaliyokuwa yakienda route ya Musoma alikuwa anaitwa Achi. Alishafariki miaka mingi. Hata marehemu baba yao alikuwa akifanya kazi hapo Tanganyika Bus hadi alipofariki.
 
Kumbe hata wewe unawafahamu vizuri. Huyo aliyekuwa akipiga mzigo pale stand na akiwa konda kwenye bus za Tanganyika bus hasa yale yaliyokuwa yakienda route ya Musoma alikuwa anaitwa Achi. Alishafariki miaka mingi.

duuuh kumbe alishafariki.....nawafahamu mpka walipokua wamepanga hpo mitimirefu
 
waulize ccm wanajua sifa na vigezo wanavyowafanya wampe ubunge sisi wengine hatuwezi kujua kwa sababu hatuko ndani ya hicho chama
 
Jamani inatosha. Mzigo wa Jaffarai mwenyewe huo mbona mnataka kumkwaza mshkaji?
 
Mkuu nina hakika na nilichokiandika. Na hapa JF uwa sina tabia ya kuweka comment kwa kitu nisichokuwa na hakika nacho. Itoshe tu kusema kwamba namfahamu na pia ananifahamu vizuri kwa zaidi ya miaka 35. Labda nikuulize maswali mawili rahisi tu mkuu ili utakapobisha uwe na basis. 1. Zamani watu walikuwa wanaanza darasa la kwanza (shule ya msingi) wakiwa na umri gani? 2. Kwa kutumia jibu la swali la kwanza, mtu aliyemaliza darasa la saba mwaka 1982 kwa sasa atakuwa na umri gani?

Nimependaa haya majibu!
 
mkuu usemalo ni kweli 1989 kma sikosei alikua frm 6 lake sec school mwz....mimi nkiwa lake primary

Mkuu pale lake primary kuna mzee mmoja alikua na malori ya mizigo ya rangi kama avatar yako (green, yellow, black & red) alikua mkuda sana yule mzee!!
 
HayO hayo mkuu, ila nilisikia yule mzee sio mtz ni wa kule kwa Kagame kuna kipindi Sirikali ilimpa tabu sana. Alitusumbua sana wa Lake Sec. hasa kukwamisha safari za kutoroka shule mida ya break asubuhi yaani alikua anatuchoma live kwa Mwalimu mkuu Father DE.

hahaaa alikua mkuda flani pia alikua n watoto w kike wengi ila yuko mwz huwa anakua mitaa y makoroboi kwa mhindi flani
 
Mkuu nina hakika na nilichokiandika. Na hapa JF uwa sina tabia ya kuweka comment kwa kitu nisichokuwa na hakika nacho. Itoshe tu kusema kwamba namfahamu na pia ananifahamu vizuri kwa zaidi ya miaka 35. Labda nikuulize maswali mawili rahisi tu mkuu ili utakapobisha uwe na basis. 1. Zamani watu walikuwa wanaanza darasa la kwanza (shule ya msingi) wakiwa na umri gani? 2. Kwa kutumia jibu la swali la kwanza, mtu aliyemaliza darasa la saba mwaka 1982 kwa sasa atakuwa na umri gani?

Sikubaliani na ulichoandika, alimaliza Aga khan Mzizima form IV 1983, na alikuwa class moja na brother wakati huo mimi nipo form III hapohapo Mzizima na wakati huo nilikuwa nasoma na mdogo wake anaitwa Jamila walikuwa wanakaa Upanga, huyo ana 50yrs old.
 
Back
Top Bottom