Hivi siku hizi kuna polisi ambao ni makomando?

Yes FFU kuna kitengo(unit) kinaitwa crt(CRISIS RESPONSE TEAM) basi hao ni balaa, huwa ni mafunzo yanayokaribia na kikomando kabisa, kazi yao ni kupambana na matukio makubwa haswa ya kigaidi, kuokoa waliotekwa nk ila si unajua kibongo bongo imegeuzwa imekua unit ya FISIEMU
 
Kazi yao ni ipi hasa? Mbona watu wanatekwa hawaendi kuwaokoa?
 
Nazani hawa ndo walikuwa wafanya pyuu pyuu pyuuuuuuu 29 oct mwaka jana
 
Wewe jifanye huna akili punguani wewe ngoja siku apigwe risasi mumu wako ndio utapata akili
Familia yangu yote ina akili timamu mno.
Ukiheshimu na kutii mamlaka ya viongozi kwanini upate madhara.

Kwa mfano ukaambiwa hakuna maandamano, hakuna kutoka nje, hakuna kukaa vikundi halafu wewe ukabisha huoni kama wewe ndiyo mwenye matatizo
 
Unaheshimu mamlaka inayovunja katiba? Huo ni zaidi ya upunguani. Ni utumwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…