Mbona ujangili umeongezeka hadi tumeomba msaada Saudi Arabia watulindie misitu yetu!! hawa makomandoo huwa wanakua wapi?
Mnapenda sana kukuza vitu, kuwasifia makomandoo kwa kupiga raia wakati majangili na mafisadi yanatamba mtaani nao ni ugonjwa wa akili!!