yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,346
- 2,424
Duuh..inakuaje hii.View attachment 3689759
Mzee una hangaika nini lete 2.5m choma jikinge
Ukimwi una kinga mzee...sema sisi ni maskini π
Piga KAZI ponjoro.. sisi wengine tumesha ichoma tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uki itaji sema tukuelekeze
NB. MAENDELEO HAYANA CHAMA
Okay okayHuhitaji kinga Tanga, watoto hawana matatizo
Una viashiria vya ushogaHata ukitaka kuliwa ni wewe tu.
Mwili ni wako.
Sasahivi sio mchezo mji mtamu sana huuKuna watoto wazuri kinoma pande hizo nilishawahi kuishi hapo wayback
Maramba mawili?Naaam mkuu kama hapa maramba
Unajua ninafukuzia Gap hapo Mzee sasa kama mambo sio shwari napata wasiwasi anyway mkuu Mwanaume ni kupambana tuTanga moja hiyo kijana wangu...ni balaa hapo halafu kuna wanawake warembo sana.
Ni muslims kwa sana au na Waktisto wapo wenyeeji wa hapo ni kabila gani!? Na shughuli zao za kiuchumi haswa ni zipi mkuuSasahivi sio mchezo mji mtamu sana huu
Brazaπ π
Braza napitia comment za wadau mbavu sinaBraza
Tukalale.
Angalia usicheke kwa sauti kubwa, majirani wasije kusema unawanga.Braza napitia comment za wadau mbavu sina
π π watajua wenyewe sina usingizi leo siku nzima nimeitumia kwa kulala tuAngalia usicheke kwa sauti kubwa, majirani wasije kusema unawanga.
Tanzania hakuna mkoa wenye Ukimwi, labda uje nao wewe kutoka kwenu uhindini.Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Ni wadigo muslims kwa sanaNi muslims kwa sana au na Waktisto wapo wenyeeji wa hapo ni kabila gani!? Na shughuli zao za kiuchumi haswa ni zipi mkuu
Hapana hii ipo tanga mzee wilaya ya mkingaMaramba mawili?
Shoga hujaelewekaWakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Shoga la tunduma na wewe unamiadi ya kufirwa Tanga au ?Ni wadigo muslims kwa sana
Tanga hio hapo kiuchumiNi muslims kwa sana au na Waktisto wapo wenyeeji wa hapo ni kabila gani!? Na shughuli zao za kiuchumi haswa ni zipi mkuu