Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

Hivyo Mkuu hapo ushindwe wewe si eti?

Kama naona utakavyowapata wenye uhitaji.
Ukiwa na pesa na unataka kupiga bata jichome kwa 2.5m then kajichanganye huko kitambaa cheupe, kidimbwi na kokote unadunda zako labda upate magonjwa mengine kama homa ya iniii
 
Acha uongooo acha umaraya jamani hutosheki na hao wateja hapo kilingeni???
 
Kula baba na siku ukianza kubwia njugu uje utuambie pia, hivi kweli zama hizi za kuomba ushauri kuhusu sex bila protection πŸ€·πŸ½β€β™€οΈ shauri yako mkuu
 
Katika vitu ambavyo watakunyima k haimo.
Alafu ni wazuri mashaallah Yani ni wazuri tena sana sana SANA ni wazuri kweli kweli wa sura na viumbo vyao vile dah Kuna kaka yangu alioa kule weeeee mke wake ni mzuri balaaa
 
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?

Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Una miaka mingapi Toka upate ilimu dunia
 
Mkuu ukimwi wa Tanga umekaa mdebwedo sana. Hata Kwa Panadol unapona tu, Kwa hiyo kula lipi isiyo na Ganda kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…