Hivi tatizo la 'kunatana' wakati wa kufanya mapenzi linasababishwa na nini?

Daaah, ni mfano au ilitokea kweli, maana
 
Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Upeo wako ndio Mdogo hauezi kuona mambo hayo, hili jambo lipo na linaitwa TEGO.
 
Kuna watu wanajifanya wanasanyansi kila kitu wanazani ni sayansi ya shuleni hii nyingine ni African magic science na inafanya kazi.
 
Hamna cha scientific resource wewe umekariri unakuja kutudanganya hapa. Haya mambo yapo kuanzia enzi za enzi hata kabla kitabu ulichosoma hakijaandikwa.
 
Hamka shaka kama huko kwenu mmeamua "kuamini" hivyo.
Njoo nikutengenezee bure Kama mkeo haelewiki utamkamata tuu. Nunua kuku mweusi. Mimi nakutengenezea bure kabisa.
 
Unaamini ushirikina??
 
Hamna cha scientific resource wewe umekariri unakuja kutudanganya hapa. Haya mambo yapo kuanzia enzi za enzi hata kabla kitabu ulichosoma hakija andikwa.
Siko hapa kubishana na yeyote. Ukiamua kupuuza maelezo yanayopatana na akili (science) na kuamua "kuamini" upuuzi hiyo ni juu yako tu.

Nafahamu watu wetu wengi wamefungwa na "mafundisho" ya kijinga kabisa na bado hawapo tayari kutoka kwenye minyororo ya utumwa.

Kuamini uchawi/ushirikina ni mental disorders.

Tupo 21st century tunashuhudia artificial intelligence katika science discoveries lakini ajabu watu bado wanadanganyika na ushirikina.

Pole sana ndugu
 
Kwahio ushirikina hauvuki karne?
 
Kwahio ushirikina hauvuki karne?
Upuuzi utaendelea tu mpaka watu watakapo funguliwa kwenye minyororo na kuamua kuuacha huo upuuzi.

Haya mambo ya kuamini ushirikina/uchawi yanaanzia nyumbani ulipokulia. Kama wazazi walipendelea kusimulia watoto mambo ya ushirikina basi probability watoto nao watakuwa hivyohivyo.

Kujitoa kwenye hayo mafundisho inaanza na mtu binafsi kupenda kujua kweli. Kuuliza maswali yanayopatana na akili na kuwa mdadisi.

Poleni sana mnaoamini mambo haya ya kipuuzi kabisa. Kamwe huwezi kuwa HURU kama umefungwa na mafundisho potofu.

You have eyes but you don't see. You have brain but you don't optimize it to it's fullest potential
 
Wewe Chizi kweli hata hiyo elimu uliopata bado, haikusadii , hao wazungu waliokuandikia kitabu uka ariri na wenyewe wana tamaduni zao, huu sio uchawi ni utamaduni.
 
Wewe Chizi kweli hata hiyo elimu uliopata bado, haikusadii , hao wazungu waliokuandikia kitabu uka ariri na wenyewe wana tamaduni zao, huu sio uchawi ni utamaduni.
Mimi siyo kichaa.....so please don't call me names.

Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?

Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?

Go and educate yourself old man.
 
Hahahaaa nimesoma kastory kako kote
 
Mimi siyo kichaa.....so please don't call me names.

Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?

Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?

Go and educate yourself old man.
Science ya Afrika ndio hii tunayokwambia wewe unaleta science ya wazungu ya kukariri vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…