Hivi tatizo la 'kunatana' wakati wa kufanya mapenzi linasababishwa na nini?

Wenye vibamia msihofu tego haliwahusu, kibamia hakinasi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ulishawahi kutest kibamia chako nini maana inaonekana una uzoefu na hilo!
 
Hiki ndicho najua tangu zamani nilitarajia jibu la kwanza liwe hili badala yake ni vituko tu na kuleta stori za vijiweni.
In fact huu uzi ilibidi uende jukwaa la jf doctor.
Ombea isikutokee maishani mwako maana utaishiwa nguvu na hizo science zako. Hivi unadhani wote humu hatujui science eeh! Ni utoto tu ukikua utaacha.
 
Wewe utakuwa mchawi maana wachawi ndiyo hawataki kusikia stori za kichawi au kishirikina wanajifanya innocent kwenye jamii kumbe bure kabisa hadi mbinguni wameshachokwa
 
Mimi siyo kichaa.....so please don't call me names.

Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?

Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?

Go and educate yourself old man.
We dada una science gani zaidi za akina newton n.k?
 
 
NI UTAALAM NDO UNAOTUMIKA MKUU!! WELLCOME AT SUMBAWANGA FOR MORE COURSE
 
Mbwa hunatiana kwa sababu 1

Zile mbegu za mbwa hua hazitoki zote kwa wakati mmoja, hua zinatoka nyingi sana halafu zinatengeneza kitu kama kiduara mbele ya penis ya mbwa ndio zinaanza kutoka taratibu

Ukikuta ndo zinaanza kutoka ukiwatoa pale utafumua vagina yote ya mbwa jike.
 
Story nzuri kidogo na wazi ni "fictitious" ingawa inafundisha,pia jifunze kuaandika kwa utulivu na ufasaha,makosa yakiwa mengi kwa story ndefu inaboa.
 
Okay, nimeona matukio haya sehemu kama mbili huku ghana Mbeya
 
Dogo, sikiliza!
Mkimaliza sex baada ya wewe kukojoa ndani na yeye kuwa mbichi sana halafu uume ukaendelea kukaa ndani ya uke wake kwa dk kadhaa ute ute wake ndani kama unaganda hivi sababu anakuwa hana hamu hivyo hatoi wese, hapo ndo unajikuta uume unanata ndani, cha kufanya ni kumsisimua tena mwenza wake aweze tengeneza wese tena utoke kiulaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…