Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Cha kumdhoofisha anacho kigogo sio?
 
Mnafiki yule , muuaji, mtekaji
 
Mbona hauna upande au ni mchambuzi muajiriwa wa CCM?
Hapana mkuu ni mchambuzi tu wa maswala ya kisiasa sijaajiriwa na chama chochote.

Ndio kama hivi mkuu Mwaka 2016 katika shughuli zangu za uchambuzi nikafanikiwa kuja na Uzi kuwa Lisu atagombea Urais na kweli kagombea.

Ila kwa uchambuzi huo huo nikaja kuona kuwa hatashinda kutokana na sababu mbali mbali moja kuu ikiwa ni kujiweka karibu Sana na watu wa nje, jambo hilo limewakasirisha raia wengi.
 
KAMA NI YEYE KWELI...SASA WAKATI WA MABOMU NA MAWE ANAKUWA WAPI? MAANA NAONA LISSU AKISIMAMA MBELE NA KUJITETEA PAMOJA NA KUWAHOJI POLISI PEKE YAKE, NANI ANAMLINDA MWENZAKE HAPO,,,?
Walinzi kazi yao kukuelekeza kuwa wee mgombea jiwe hilo linakuja chuchumaa chini ukikataa wanakuacha litue kichwani kwako watakukimbiza hospitali au mortuary lolote likitokea kati ya hayo
 
Jambo ambalo limewakasirisha CCM
 
Hatuwezi kuthubutu kuchagua tena WATEKA NYARA, hii miaka mitano ilikua ya mateso sana. Sasa basi
 
Ndio huyo huyo ndie atakaetumiwa kumuwekea SUMU kwenye maji

Usalama wa taifa katika nchi ya Tanzania wote wanatumiwa na CCM.

TISS ni department ya CCM.
Ni wa binafis na wengi ni wachaga mm nimepiga nao story saaan blooo
 
Uchaguzi ujao gombea utapata jibu, wagombea wote umemuona Lissu tu.
Wasiojulikana walimwona Tundu Lissu pekee wakammiminia risasi 16 wasiwaone wagombea watarajiwa wenzake 15? Risasi moja tu kwa kila mmoja wote 16 wangekuwa RIP lakini Mungu akaingilia kati na bado wiki 2 tu mbichi na mbivu zijulikane. Wacha Mungu aitwe Mungu, 15 wako hoi yeye anaendelea kupeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…