Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hadi hapo tu ni kwamba haupindui
 
Nibalance shobo"
Ndio ukizingatia wewe ni mwanamke basi tabu tupu!! Mwanamke kupenda kupitiliza sio poa sana ujue bora wewe upendwe kupitiliza haya huyo wa kukupenda kupitiliza sasa ndio changamoto!!
Mapenzi kizungumkuti!
 
Una kirangi kizuri kweli ila tatizo kwangu mwembamba nikikaa juu Yako kesi ya mauaji itanihusu chibonge mimi

Kwendraa!
Sitaki sifa Mimi, ninachotaka nimeshakuambia hapa niliponamalizia huu waraka alafu muda mchache ujao utatrend, Beesmom wa JF
 
Hapo huyo itakua ana mtu mwingine alomuweka kwa moyo au anayempenda kwa dhati!
Ndio yule jamaa ambae unamlengeshea mbususu anaremba kuila ?????
Huyo hakupendi dada tuliza akili kwanza usifanye maamuzi ya kupata mwingine kwa hasira au haraka ya kulipiza
 
Nalikuwa nampenda tu,namwona mpole sana nami ndo ugonjwa wangu....ila shida anaonekana ana mpenzi mwingine Ivo anashindwa kubalance....na ni kama kutokuwa na interest kumeegemea kwangu
Achana nae.

We utakonda kwa mawazo mwenzio yake yanamuendea.
 
Beesmom Hio nayo ni changamoto kubwa kwa wanaume ya kushindwa kubalance wapenzi wao yani amuache nani ampotezee nani so anahang hang nao ivoivo mwanamke mwenye akili timamu ataeshtuka mapema ndio atajiengua mwenyewe kwa jitihada zake!
 
Usiteseke
Watu wapo wengi sana duniani hapa
Ukiona mateso yanazidi raha potezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…