Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Ukimpenda mtu automatically unakuwa ume submit kwake hisia zako na maslahi yako yote kwakew. Its automatic sababu huna control na hisia za upendo.
Huwa zinajijenga zenyewe tu.

Kuteseka kunakuja pale ambapo efforts haziendani na output πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Unapompenda mtu una expect nayeye akupende na kukuthamini. Sasa ikiwa hakuthamini wala kuonesha positive reaction ndio unaenda kwenye limp mode, clinginess begins.

Moyo unatamani ila akili inakataa ila the best feeling is from the heart. Utaudanganya ubongo tu ili ujisikie vizuri ila reality iko pamoja na ubongo. Hupendwiii ila unajaribu kuongeza juhudi za kujitolea kufanya mema ila majibu yale yale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ver sad
 
Nilichelewa kujua ili. Ila tokea nijue imesaidia sana.

Yaani mtu katika moyo wangu nampa Ventriko ya kushoto tu, ya kulia na Auriko zote naziacha ghetto.
Hii ukiipatia ni bomba sana mapenzi hayatakutesa kamwe unakaa mguu mmoja nje mwingine ndani.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†toa majibu basi
Niseme nn Tena kumbe nawe Kuna mtu kakushika,ila mwenzio ndo nimepona Sasa....nilitaka nijisepeshe kipindi Fulani Kuna stress zilinizidia but nilivyoleta lile jambo humu,Kwa nguvu ya umma ndo uzima wangu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…