Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu alhamisi Ivo matichel twala Bata....mwenye nafasi aje anichukue kesho jumatatu tafadhali.......

Turudi kwenye mada,najua kupenda kupo Tena kunachukua nafas kubwa moyoni...Sasa nilitaka nijue kuwa kumpenda mtu ni fimbo Yaan ni lazima uteseke,udharaulike,unyanyasike na huyo umpendae? Yaan ana dalili zote hakupendi,na una dalili zote unaforce mapenz na kuaminika kwake...je ni lazima unyanyasike ndo uprove unapenda? Yaan huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau...kwani lazima upitie hayo?
Ukimpenda mtu automatically unakuwa ume submit kwake hisia zako na maslahi yako yote kwakew. Its automatic sababu huna control na hisia za upendo.
Huwa zinajijenga zenyewe tu.

Kuteseka kunakuja pale ambapo efforts haziendani na output 😂😂😂! Unapompenda mtu una expect nayeye akupende na kukuthamini. Sasa ikiwa hakuthamini wala kuonesha positive reaction ndio unaenda kwenye limp mode, clinginess begins.

Moyo unatamani ila akili inakataa ila the best feeling is from the heart. Utaudanganya ubongo tu ili ujisikie vizuri ila reality iko pamoja na ubongo. Hupendwiii ila unajaribu kuongeza juhudi za kujitolea kufanya mema ila majibu yale yale 😂😂😂
 
Ver sad
 
Nilichelewa kujua ili. Ila tokea nijue imesaidia sana.

Yaani mtu katika moyo wangu nampa Ventriko ya kushoto tu, ya kulia na Auriko zote naziacha ghetto.
Hii ukiipatia ni bomba sana mapenzi hayatakutesa kamwe unakaa mguu mmoja nje mwingine ndani.
 
😆😆😆toa majibu basi
Niseme nn Tena kumbe nawe Kuna mtu kakushika,ila mwenzio ndo nimepona Sasa....nilitaka nijisepeshe kipindi Fulani Kuna stress zilinizidia but nilivyoleta lile jambo humu,Kwa nguvu ya umma ndo uzima wangu huu
 
Back
Top Bottom