Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

Mkuu yale maendeleo ya wazungu,,,mzulu angeachiwa ile nchi isingekuwa vile,,,,huenda sisi tungekua na unafuu kuliko wao...
 
Kabla ya kuanza kazi ntafanya vacation dunia nzima, nakula bata kisawasawa coz nikirudi kuanza kazi nahisi sitatoboa mwaka wataniua kama Jiwe. Ntakomesha walamba asali wote hata wakiniua nakua nshainjoy kiti kidogo
 
💫
 
MERITOCRACY
PATRIOTISM
HONESTRY

Ukiona mtu anapenda tumia hayo maneno ujue ni laghai au tapeli kama carl peters
Mnataka kutumia mabilioni ya shiliüngi kuwapeleka watu mashariki ya Mbali eti kwenda kujifunza mbinu za Maendeleo!!! Hayo niliyoainisha hapo ndio uchawai wliotumia wenzenu ikiwemo Singapore kupata maendeleo!!
Tapeli na laghai ni hao wanao tia saini mikataba ya madini bila kujali Maslahi ya Nchi
 
Ningeiga mwenendo wa MWENDA zake kuhusu Watumishi wa Umma pamoja na kukagua vyeti feki.
Wizi ,Rushwa,upendeleo,Kushindwa kuwajibika na ubadhilifu itakuwa zero tolerance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…