Eliudsamwel
Member
- Mar 8, 2013
- 13
- 3
Kwanza kabisa ningevunja uongozi wote uliopo ikiwa pamoja na katiba then ndo ningeanza upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningehakikisha kila mtu anaajira.
Migodi yote ingemilikiwa na wazawa,mashoga wangenikoma kwa sheria ya kuwazamisha baharini,walimu,madactari wangelipwa mara mbili kwa mwezi,bunge lingekaa wiki moja tu{kuanzia saa 2asubuh hadi 5usiku. Wanajeshi ndio wangekuwa wananiletea tathmini ya kuwaneemesha kiuchumi wananchi na si wanasiasa,majangili na wauza madawa ya kulevya wangekuwa wanauwawa live siku nahutubia taifa,nisingekuwa na Ikulu,msafara ungekuwa na mahema popote pale ningekaa, kuonana na kupokea mahitaji ya wananchi. NB wananchi wangenenepeana kwa utawala bora.
...Ninge kupa ndege yanu utanulie
...Bila kusahau ule mlima mrefu
...kingine nini unataka miss?
Nitamuangaliaaa bila kummaliza then nitatingisha kichwa na kuaga.
Nitamuangaliaaa bila kummaliza then nitatingisha kichwa na kuaga.
Ntamuomba niwe mke mdogo
Keshasema hapangiwi..
Mkuu si ana mke tayari?.
Shukrani sana nimeelewa "mdogo".Soma vizuri