Migodi yote ingemilikiwa na wazawa,mashoga wangenikoma kwa sheria ya kuwazamisha baharini,walimu,madactari wangelipwa mara mbili kwa mwezi,bunge lingekaa wiki moja tu{kuanzia saa 2asubuh hadi 5usiku. Wanajeshi ndio wangekuwa wananiletea tathmini ya kuwaneemesha kiuchumi wananchi na si wanasiasa,majangili na wauza madawa ya kulevya wangekuwa wanauwawa live siku nahutubia taifa,nisingekuwa na Ikulu,msafara ungekuwa na mahema popote pale ningekaa, kuonana na kupokea mahitaji ya wananchi. NB wananchi wangenenepeana kwa utawala bora.