Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Usemacho ni kweli mkuu,nchi nyingi za dunia ya tatu wahanga wakubwa wa ukatili na dhuluma ni watu wasio na kipato/maskini,wanawake ,watoto na walemavu.Tz inaonekana bado kuna dhulma na ufisadi katika utoaji wa haki.
Kinamama wengi 'waliomwangukia' Magufuli malalamiko yao ni ya msingi na kweli.
Cha kujiuliza, viongozi wenye dhamana ya kutumikia wananchi pamoja na vyombo vya kutoa haki, wako wapi?
Saazingine wanapoitwa na kudhalilishwa kwenye kadamnasi, wala siwahurumii.