Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

Ahsante sana,uchambuzi mzuri,unaoonyesha hitilafu na suluhisho,big up.
 
Nitamuomba
1. Atuondolee aibu ya kuishi karibu na ziwa bila mabomba ya maji (naona aibu sana )

2. Nitaomba angalau tu niendeshe ile MAN TGX truck ya msd naitamani sana [emoji46][emoji46][emoji46]
Kweli mkuu,vyanzo vya maji vipo tena vya uhakika,lakini access ya kupata maji safi na salama bado ni tatizo,maji safi na salama yakipatikana kwa njia rahisi itasaidia kupunguza adha ya maji na magonjwa yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama.
 
Nitamuangaliaaa bila kummaliza then nitatingisha kichwa na kuaga.
Mimi nitamwambia ajitahidi kuzingatia utawala wa sheria na ahakikishe anailinda katiba ya nchi kama alivyoahidi siku ya kiapo chake pale uwanja wa UHURU.

Pili ningemshauri achunge mdomo wake dhidi ya mabeberu maana ndiwo wanaomuweka mjini.
 
Back
Top Bottom