Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Ahsante sana,uchambuzi mzuri,unaoonyesha hitilafu na suluhisho,big up.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,vyanzo vya maji vipo tena vya uhakika,lakini access ya kupata maji safi na salama bado ni tatizo,maji safi na salama yakipatikana kwa njia rahisi itasaidia kupunguza adha ya maji na magonjwa yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama.Nitamuomba
1. Atuondolee aibu ya kuishi karibu na ziwa bila mabomba ya maji (naona aibu sana )
2. Nitaomba angalau tu niendeshe ile MAN TGX truck ya msd naitamani sana [emoji46][emoji46][emoji46]
Sawa Mkuu.
Umenivunja mbavuNitamuangaliaaa bila kummaliza then nitatingisha kichwa na kuaga.
Kwa nn nisiweze kma wapiga debe na makonda wasio na leseni wamewezaUnaweza kuongoza mkoa mkuu?.nakuombea ufanikiwe.
Hahahaha we mtu bwana.Kwa nn nisiweze kma wapiga debe na makonda wasio na leseni wameweza
Vp mkuuHahahaha we mtu bwana.
Asprin acha utani mkuu.Atumie maji badala ya toilet paper
Vp mkuu
Huyu jamaa sijui kafikiria nini[emoji16][emoji2][emoji2].Umenivunja mbavu
Tuko pamoja mkuuHahaha poa Mkuu.
Pole sana Mkuu,unahisi kwanini utalia?.mm nitashindwa kuzungumza na kuanza kulia. Nitalia sana kisha nita kaa. Asante mh kwa kunipa nafasi kulia hapa ikulu. Asante sana.
Tuko pamoja mkuu
Mimi nitamwambia ajitahidi kuzingatia utawala wa sheria na ahakikishe anailinda katiba ya nchi kama alivyoahidi siku ya kiapo chake pale uwanja wa UHURU.Nitamuangaliaaa bila kummaliza then nitatingisha kichwa na kuaga.