Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Usemacho ni kweli mkuu,nchi nyingi za dunia ya tatu wahanga wakubwa wa ukatili na dhuluma ni watu wasio na kipato/maskini,wanawake ,watoto na walemavu.Tz inaonekana bado kuna dhulma na ufisadi katika utoaji wa haki.
Kinamama wengi 'waliomwangukia' Magufuli malalamiko yao ni ya msingi na kweli.
Cha kujiuliza, viongozi wenye dhamana ya kutumikia wananchi pamoja na vyombo vya kutoa haki, wako wapi?
Saazingine wanapoitwa na kudhalilishwa kwenye kadamnasi, wala siwahurumii.
Hata me nimemuuliza hajanijibu mkuu,tafadhali muite aje atusaidie.Upishi huu huu niujuao mimi au umeingiza kamethali mkuu?
Hahaha.Kiukweli mm Nitaangalia tumbo langu tuuu,ni mwendo WA sifa tuuuu,kuanzia getini mpaka mlangoni naingia naimba Magufuli kwangaruuuuuu,nikiingia ndani ni mwendo WA mbele Kwa mbele,nachezaaa weee halafu napiga pushapu 10,nakaa kwenye kiti namwambia mzee lete mpunga nikawanyooshe nyumbu mtandaoni,baada ya hapo napiga selfie namwambia msigwa ahahakikishe amechukua picha vizuri na ananitumia mapema,
Jikite kwenye Content mkuu.Nani alikwambia binadamu tunafanana umbo la nje?
Kwanini Mkuu?.Kumbe kukutana naye ni bahati. Hata siilalii mlango wazi, nafunga inipitie mbali!
Kumbe kukutana naye ni bahati. Hata siilalii mlango wazi, nafunga inipitie mbali!
Natamani kuijua mamy😅😅!na biashara zisizohalali zinalipaaaNtamuomba Biashara nnayofanya ihalalishwe
ushaambiwa haramu😂Natamani kuijua mamy😅😅!na biashara zisizohalali zinalipaaa
Hahaha[emoji2][emoji2][emoji2]ushaambiwa haramu[emoji23]
usitake kujua ntaongea na mkuu mwenyewe maana Vyombo vya dola vinatusumbua sana
Ni mkoa gani huu Mkuu?.Tujengewe barabara ya rami toka kanazi mpaka Ibwera halafu aje aifungue. Haweziiiiii sababu anajua kuna wapinzani wa chini kwa chini.
Natamani kuijua mamy[emoji28][emoji28]!na biashara zisizohalali zinalipaaa
Naunga hoja kwakweli!bora nikutanishwe na Samia
Mkuu ni haramu[emoji16]
Kagera, bukoba vijijini, tarafa ilikuwa kihanja sasa sijui ila kwetu ni Ibwera. Hatujawahi ona barabara inatengenezwa tangu na kabla ya uhuru na tunazalsha kahawa tena organic. Tatizo hatupendwi tangu hata wakati wa nyerere. Tutlikosea nini nchi hii? Lwakatare yupo Bukoba mjini lakini kazaliwa kijijini kwetu anajua hali ilivyo. Wote akina Luangisa judge wanatoka kwetu lakini hawapo kwenye position ya kutetea kijiji chetu. Wamefungwa mikono.Ni mkoa gani huu Mkuu?.
Teh!Hivi kukutana na SHETANI ni bahati kumbe?
Aisee pole sana Mkuu umeandika kwa uchungu mkubwa mno,hakuna kitu kinaumiza maishan kama kuhisi/kuona umetengwa(na huo ndio uhalisia),lakini watu wengine(ulionao katika jamii moja) wanaona wako sawa kabisa,inatesa mno na unapojaribu kushauri unaonekana mpinzani na mjuaji,inaumiza sana,unawaza uache mambo yaendelee kama yalivyo,bado dhamiri inakuhukumu,kuwa na moyo mkuu ndugu yangu,every struggle have the pain to pay.Kagera, bukoba vijijini, tarafa ilikuwa kihanja sasa sijui ila kwetu ni Ibwera. Hatujawahi ona barabara inatengenezwa tangu na kabla ya uhuru na tunazalsha kahawa tena organic. Tatizo hatupendwi tangu hata wakati wa nyerere. Tutlikosea nini nchi hii? Lwakatare yupo Bukoba mjini lakini kazaliwa kijijini kwetu anajua hali ilivyo. Wote akina Luangisa judge wanatoka kwetu lakini hawapo kwenye position ya kutetea kijiji chetu. Wamefungwa mikono.
Kardinal Rugambwa alitujengea hospitali na shule ya wasichana ila serikali wakati ule ya TANU ikawavuruga wakaenda kujenga hospitali kubwa Biahalamulo. Politics is a dirty game. Ta Kardinari angekuwa hai angeshauri wanasiasa waendelee na yao. Nimechoka nimefika mahali kusema naondoka bila kuona mabadiliko kijijini kwangu.
Hata ukijitahidi ni matusi sababu huna kadi ya kijani na sisi wengine hatuna interest na vyama. Watu binafsi wamefanya kazi kubwa hasa kuendeleza parokia yetu but is that enough? Tunahitaji orphanage home kwa watoto yatima, wazeee wanaokaa nyumbani bila milo miwili, tunahitaji liblary ambapo wazee waje waangalie kinachojiri duniani halafu tuwapeleke nyumbani na mimi nikiwa mzee mwenzao tuburudike wote.. I have a plot which I can purchase from my brother or I can use mine ili wazee na watoto wapate mlo mmoja.
Asante kwa kunielewa.Aisee pole sana Mkuu umeandika kwa uchungu mkubwa mno,hakuna kitu kinaumiza maishan kama kuhisi/kuona umetengwa(na huo ndio uhalisia),lakini watu wengine(ulionao katika jamii moja) wanaona wako sawa kabisa,inatesa mno na unapojaribu kushauri unaonekana mpinzani na mjuaji,inaumiza sana,unawaza uache mambo yaendelee kama yalivyo,bado dhamiri inakuhukumu,kuwa na moyo mkuu ndugu yangu,every struggle have the pain to pay.