Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?

Sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, inatamka mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni wa ndoa. Si mtoto wa awaye yeyote. Hivyo, labda mume aamue kukuachia.

Ila akiridhia basi huna chako. Hata afanane na wewe mpaka minyoo ya tumboni.
 
😃😃😃😃😃😃Sawa namwachia baba kwenye nyumba atunze damu yangu
 
Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
Ni vizuri ukamdai. Nenda mkuu hakuna shida😆

Natoa wito kwa wababa wanaolea watoto wasio wao ambao wamepatikana ndani ya ndoa ni ruksa kudai fidia mahakamani dhidi ya wake zao na baba wa hao watoto. Piga hela haswaa
 
Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?

Unadai nini wkt ni mke wa mtu, sometimes lazima ujue result za madudu yako na matatizo yake.
 
Huwezi kudai mtoto. Yani umelima kwenye shamba langu nalimiliki kihalali alafu mazao uje uchukue wewe. Kama utamdai mtoto lazima upigwe faini
 
Back
Top Bottom