Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, inatamka mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni wa ndoa. Si mtoto wa awaye yeyote. Hivyo, labda mume aamue kukuachia.Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
😃😃😃😃😃😃Sawa namwachia baba kwenye nyumba atunze damu yanguSheria ya ndoa ya Mwaka 1971, inatamka mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa ni wa ndoa. Si mtoto wa awaye yeyote. Hivyo, labda mume aamue kukuachia.
Ila akiridhia basi huna chako. Hata afanane na wewe mpaka minyoo ya tumboni.
Ni vizuri ukamdai. Nenda mkuu hakuna shida😆Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?