Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana.

Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma.

Poleni sana Wadanganyika.
Watu wote wanajua lakini tumeamua kupuuza na kukaa kimya. Naomba niulize unaposema wadanganyika unaongelea jamii nzima ya Tanganyika au kuna watu fulani specific?
 
Wana utaratibu mzuri wa kugawana walivyoiba, na mmoja lazima apewe lawama, at the end ni upepo utapita tu.
 
Sidhani kama huwa zinatosha kufanya kufuru wanazofanyaga kipindi cha uchunguzi.
Mkapa mwenyewe alikiri kwenye kitabu chake kuwa alipora fedha za umma kwa ajili ya uchaguzi.

CCM itolewe kwa mtutu wa Bunduki ndicho kilichobakia.
 
Back
Top Bottom