Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nashanga comments nyingi zinamshambulia Waziri na hapa ndio Wadanganyika wanaponishangaza kabisa.Na ufisadi wa BOT twin towers kwamba ulikuwa ni wa mtu mmoja tu.
Halafu mnafikiri za uchaguzii huwa zinatoka wapi?Wanatuchezea Mazingaombwe.
Watu wote wanajua lakini tumeamua kupuuza na kukaa kimya. Naomba niulize unaposema wadanganyika unaongelea jamii nzima ya Tanganyika au kuna watu fulani specific?Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana.
Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma.
Poleni sana Wadanganyika.
Kalaga baho!!Alitumwa assign? Yeye ndiye aliuekamatwa na ngozi.
Mbona unamtetea sana?!!Halafu mnafikiri za uchaguzii huwa zinatoka wapi?
CcmWewe ulitaka wamshambulie nani?
Tangu lini nikawa upande wa hao watu?Mbona unamtetea sana?!!
Yeye yuko Chama gani?
Yule mwingine enzi zake, hakutaka watu wahoji, akahamishia madudu yake kwenye akaunti zisizokaguliwa na akawa anaitwa Mzalendo!Wanatuchezea Mazingaombwe.
Wanapora tozo,kodi, na mikopo ya ndani na nje.Halafu mnafikiri za uchaguzii huwa zinatoka wapi?
Sidhani kama huwa zinatosha kufanya kufuru wanazofanyaga kipindi cha uchunguzi.Wanapora tozo,kodi, na mikopo ya ndani na nje.
Mkapa mwenyewe alikiri kwenye kitabu chake kuwa alipora fedha za umma kwa ajili ya uchaguzi.Sidhani kama huwa zinatosha kufanya kufuru wanazofanyaga kipindi cha uchunguzi.
Una akili sana wewe!Wana utaratibu mzuri wa kugawana walivyoiba, na mmoja lazima apewe lawama, at the end ni upepo utapita tu.