Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hayo mawazo mabovu ya kijinga. Akizaa kuna tatizo gani? Sasa wewe unadhani sifa kuzaa hovyo na kuwataka wakaolewe na waliowazalisha mbona wewe hukuwaoa hao kumi uliozaa nao? Hovyo kabisa.Bora ubaki bila kuoa Ila sio kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Hakika watuachee😜🙏🏽Wapumzisheni
Niwe mkweli Kama Sina watoto, na mwanamke ana mtoto 1 and she is worth it. Basi oa kaka.Intelligent businessman
atakwambia KATAA NDOA.
For real akiwa na mtoto 1 and she is worth it.Unakataa kuoa mwanamke aliyezalishwa kisha unaoa ambaye bado halafu anazalishwa ukiwa umeshamuoa na unalea mbegu za mwanaume mwenzio.
Ila sio mbaya, uchawi ni kutokujua tu.
Duuh hii adacadabra sio poaUnakataa kuoa mwanamke aliyezalishwa kisha unaoa ambaye bado halafu anazalishwa ukiwa umeshamuoa na unalea mbegu za mwanaume mwenzio.
Ila sio mbaya, uchawi ni kutokujua tu.
Kwamba mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hafai sio? Hivi kati ya kuoa mwanamke aliyezaa na anayekuheshimu,na kuoa mwanamke ambaye hajazaa na akakuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa yako,kipi ni Bora?Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Safi sana,kanywe Pepsi kwa mangi nakuja kulipa mkuu.Kama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
Kama umepangiwa kikombe cha kuwa na mwanamke aliyezalishwa hauchomoki, atazalishwa hata ndani ya ndoa..😂Duuh hii adacadabra sio poa
Mambo mengine watu wanaumiza vichwa bure tu aisee ukifikiria sanaKama umepangiwa kikombe cha kuwa na mwanamke aliyezalishwa hauchomoki, atazalishwa hata ndani ya ndoa..😂
Sasa hivi ukitaka mwanamke unamjaza mimba kwanzahuko tuendako wanawake waliozaa huenda wakawa kipaumbele kwenu
asilimia kubwa ya wanawake kwa sasa kubeba ujauzito ni mtihani kutokana na haya madawa ya uzazi wa mpango na aina ya maisha tuishiyo
unakuta mtt wa std 7 mpaka sec anatumia p2 na mengineyo
mpaka aje kufikia umri wa kuolewa kizazi hakina uwezo wa kushika mimba
ukiangalia umri umeenda unaamua kukimbilia kwa single mom angalau akupatie katoto ushanasa na
huduma unatoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna singlemama mwenye mapenzi ya kweli kama si wewe uliyemzalishaKama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
🤣🤣🤣🤣Niilchogundua wanaume wa jf wanapenda sana kupewa attention Yani wanajua wakiazisha mada za kupondawanawake watapata comment nyiingi
Hata huyo aliyezaa pia utakuta alitoa mimba, hali ya kutoa mimba haipo tu kwa ambaye hana mtoto pekeeAliyezaa ni Bora zaidi ya aliyetoa mimba ili kukuhadaa
[emoji16][emoji16][emoji16]Wajinga sana, mabinti wabichi wapo ila mtu anangangania wapigania uhuru tena aliyezalishwa