Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Hawa ndio ile jamii siwezi kuongozwa na mwanamke mostly huwa na akili na mind set za uzamani hata awe na PhD ataishii kiuzamani kujenga nyumba na mifugo pem Eni au ndani
 
Siku ukipata shida ya miguu....utaelewa kisa na maana.
 
Siku ukiumwa miguu ndo utajua umuhimu wa hicho choo cha kukaa.nilikua na menntality kama yako but now nimegundua mzungu sio mjinga kuja na hiyo innovation ya choo cha kukaa.
 
Siku ukiumwa miguu ndo utajua umuhimu wa hicho choo cha kukaa.nilikua na menntality kama yako but now nimegundua mzungu sio mjinga kuja na hiyo innovation ya choo cha kukaa.
Hapo upo sawa Kwa mtu mwenye tatizo sikatai maana ukiwa mgonjwa hata kwenye beseni utajisaidia tu. Hapo imebidi lkn ukiwa na afya njema tukubaliane hakifai
 
Siku ukipata shida ya miguu....utaelewa kisa na maana.
Watu kama ninyi Huwa sijui mitazamo yenu asee. Sasa Mimi Kwa Sasa siyo mgonjwa na Sioni umhimu wake basi siku nikiwa mgonjwa ama tatizo hata kwenye ndio nitajisaidia tu Haina jinsi maadamu nitakuwa sijiwezi Tena.

Kwanini Kwa Sasa nisifanye kile nachopenda?
 
Hawa ndio ile jamii siwezi kuongozwa na mwanamke mostly huwa na akili na mind set za uzamani hata awe na PhD ataishii kiuzamani kujenga nyumba na mifugo pem Eni au ndani
Sawa na ushoga wamewaletea mkuu pokeeni tu ndo ukisasa huo.
 
Kusema kweli Mimi hizi vyooo vya kukaa Huwa nachuchumaa juu yake.siwezi kukaa sehemu ambayo Kila mtu anakalisha batako zake na usafi ni zero.
 
Matumbo ni uchafu kula bila kunawa
Maji ya kwenye visima (bwawa) nk haziendani kabisa na choo.
 
Wacha tusubiri mkuu. Lkn Kwa Sasa hapana kwakweli. Tusubiri tu tuelemike kama sio sisi Watoto wetu na wajukuu sawa Haina shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…