Tupo pamoja sana mkuu [emoji120] ,kazi yangu ni kuokoa nafsi walau 1 tu.
Hizo idea zipo kawaida sana,
Inahitaji akili kuweza kuzing'amua.
Uko vizuri sana mkuu,nimepata vitu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mkuu,nashukuru sana 🙏 na Mungu akubariki na wewe pia.Mkuu barikiwa sana nimependa hiyo ya makabati na viti, ila tatizo letu wabongo uaminifu sifuri...unaweza kumkodishia mtu vitu kama hivyo akahama usiku kwa usiku au akawa analeta malipo kwa mbinde kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
NI KWELI mkuu ulikua umefungia hela ndani,wapo watu wanahaha huko wapate wapi vitu wakodishe,nakuhakikishia ukifanya hivyo mkuu utakua umemsaidia mtu mahali na wewe pia utajiingizia kipato chako.Dunia inahitaji sana watu km ww mkuu CONTROLA, Nauhifadhi huu uzi mana ni uzi muhimu sna
Nna mavifaa ya chips nimeyafungia ndan karibu miez 3 ss kisa sijapata mtu wa kufanya, ngoja nifanye mpango wa kukodisha asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekutupuka kumjibu jamaa ujamuelewa.Tupe idea zako ambazo sio za kawaida
Tupe idea zako ambazo sio za kawaida
Tupe idea zako ambazo sio za kawaida
Tumsamehe kuna kuteleza kimawazo chief October man