ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
Asante sana kakaUbongo bado huendelea kuchakata yale uliyokuwa unaona kabla ya kufumba macho.
Inategemea mazingira uliyopo. Kwa mfano kama ni mchana na kunamwanga utaona mwanga hafifu au kama ulikuwa unauelekeo wa miali ya jua basi utaona wekundu fulani ambao kiukweli ni rangi ya damu yako inayopita kwenye blood vessels za jichoni. Kama ni gizani hutaona chochote bali ubongo itaendelea kutoa tafsiri ya unachofikiria au ulichokuwa unatizama kabla ya kufumba macho.
Macho yapo kazini lakini hakuna kinacchoingia kwenda kwenye ubongo kwa kupitia macho yako.
Kivipi?yeah¡ ila naunga unga tu!
Sio lazima sana. Damu ikivilia kwenye ubongo inategemea ni sehemu gani ya ubongo imeathirika. Ubongo una pande mbili (Lobes).Kama damu imevilia upande wa kulia basi upande wote wa kulia wa muathirika utaparalyse. Kama ni upande wa kusho ni vivyo hivyo Upande wa kushoto utaparalyse.Asante sana ubongo ni kitu muhimu mnoo ndio maana ukisikia mtu damu imevilia kwenye ubongo ndio baasi anaondoka
Yani nafanya tu! nikijisikia au nikiwa na mawazo sanaKivipi?
OK ila nakushauri fanya kila asubuhi au jioniYani nafanya tu! nikijisikia au nikiwa na mawazo sana
Ok...OK ila nakushauri fanya kila asubuhi au jioni