Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

Zamani mchele utauonea wapi bei yake ilikua ni mara 3 ya unga, unga ilikua kilo ni Tsh 50/= mchele kilo ilikua ni Tsh 150/= hii 150 ukiwa nayo ilikua unaweza kununua baiskeli mpya, kwahiyo kilo moja ya mchele ilikua ni sawa na bei ya baiskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…