Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

Zamani mchele utauonea wapi bei yake ilikia ni mara 3 ya unga, unga ilikua kilo ni Tsh 50/= mchele kilo ilikua ni Tsh 150/= hii 150 ukiwa nayo ilikua unaweza kununua baiskeli mpya, kwahiyo kilo moja ya mchele ilikua ni sawa na bei ya baiskeli
Ila sasaiv watoto wako wanachezea wali mpaka wanamwaga
 
Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
mchele wa siku hizi nao hauna ladha ulishavurugwa enzi zetu mchele ukipikwa unanukia unasikia harufu ukiwa mtaa wa pili.
 
Back
Top Bottom