Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Au kwa sasa tumeuzoea kwa vile tunaula kila siku au???Pale kijijini kwetu ilikuwa ukipita jirani na bonde la mpunga basi you can feel the smell haswaaaa, na imani unaijua vyema harufu ya mpunga mzuri.