Aah mkuu acha tu, tumetoka mbali sana😀😀Halafu ndala zetu zilikua na riboni za mkononi unaweza vaa kama bangili ama culture 🤣
For shua , kitambo sanaAah mkuu acha tu, tumetoka mbali sana😀😀
KabisaHiyo Ni Kwa Kila Mmoja Labda Ambae Amekulia Ushuani. Yaan Hajashiliki Mapishi ya Nyumbani
TunabishaMimi katika Kila chakula ninachokula natia pilipili, nikiamka vibaya ninaweza nikatia hadi kwenye chai.
Hii ni serious kabisa msije mkabisha.
Unaasikia sauti inafoka inasema kuwa unakulaje nyama kabla ya mkubwa 😂😂Ukute huo wali una nyama ndio mnalewa kundini kunako sherehe wahuni huanza kushumbulia nyama kabla sinia halijatua chini
Haya mbishe kwa hoja muone kama mtafua dafu.Tunabisha
Wahuni walikua kwenye sherehe iliyopikwa wali wanaenda na mfuko wa Malboro Tonge moja mdomoni wakati anatafuna Tonge lingine linatupiwa kwenye mfukoUmenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaula wali kwa mikono miwili ili tu awashinde wenzake..... Walikuwa wanakula kwenye sinia.
Ilikuwa miaka ya 90 kwenye msiba wa katibu kata wetu.
Ulikua ujui mwambie na yule bilionea sijamuonaKupika pika ulianza kitambo kumbe
Kwahy mm nguzo 😂Nguzo muongo...
🤣🤣🤣🤣🤣🫡🫡🫡
😆😆Ngoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yani🤔
Ahahha najua my queenUmenikumbusha mbali sana, ilikua lazima nizidishe kiasi nilichoambiwa kwa makusudi ili ubaki kesho tuje kunywea chai😀.
Ilikua mchele na unga wa ngano for chapati, maandazi lazima nizidishe makusudi😀😀
Umesema wanaume ila mimi ni mdada😜
Hahha na hapo hubanduki home. Na unaombea asije mgeni. Pia unakua na nidhamu ya hali ya juu. Ukitumwa una kimbia fasta 😄😄😄Ngoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yani🤔
😅😅Kwa kweli hii nchi tumeitoa mbali sana mkuu yaani tunaspaswa kujipongeza kama wananchi.Wahuni walikua kwenye sherehe iliyopikwa wali wanaenda na mfuko wa Malboro Tonge moja mdomoni wakati anatafuna Tonge lingine linatupiwa kwenye mfuko
Wewe ni mhenga bwashee 🤣Hahha na hapo hubanduki home. Na unaombea asije mgeni. Pia unakua na nidhamu ya hali ya juu. Ukitumwa una kimbia fasta 😄😄😄
YeahWewe ni mhenga bwashee 🤣