Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

Hivi utotoni hasa wanaume hamjawai fanya hii kitu

Kuna mwamba alishawahi kula wali hadi akashindwa kusimama kurudi kwao akaanza kurudi kwa kutambaa, maana wali haikua ni chakula cha kawaida kama siku hizi ilikua ukiona wali unakula hadi tumbo likaribie kupasuka maana hauna uhakika kama utawahi kuuona tena
Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaula wali kwa mikono miwili ili tu awashinde wenzake..... Walikuwa wanakula kwenye sinia.

Ilikuwa miaka ya 90 kwenye msiba wa katibu kata wetu.
 
Japo mimi nilikua napenda chapati za maharage ila wenzangu ilikua hauwaambii kitu kuhusu mchele😛
Ila wali wa zamani ulikua unajua kunukia, aseee unakula kisha unazunguka mtaa mzima unawanusisha watu mkono, na mkono full kunukia ubwabwa maharage.
 
Ila wali wa zamani ulikua unajua kunukia, aseee unakula kisha unazunguka mtaa mzima unawanusisha watu mkono, na mkono full kunukia ubwabwa maharage.
Kabisa bro huu wali wa sasa naona nao umeamua kulefti group tu🤔
 
Mkuu basi wewe wakishua - Sisi ngoma ilikua inapigwa filimbi tunakutana mda wa kukiwasha tu.

Ukitumwa sana sana kugusa chakula bhasi ni kuchota maharage ya kutenga na hayo unapunguza kipimo ili yawahi kuisha.
Ahahah dah
 
Na mama yangu alikua dicteta unakula ubwabwa wa kitumbo huku unasimangwa
Ahahah uho mchele wakitumbo ndio kiboko mchele unavimba ase nusu unaweza ukasema umepika kilo moja
 
Na mama alikua ananitupia mimi zaidi majungu kwa sasabu tulikua watoto wa mama na wa mama mkubwa mke mkubwa wa mzee ambae alishafariki kitambo na karibu wote tulikua karibu marika🤣
Sasa wewe unajua hadithi ya mama wakambo vzr sio hawa wasikuizi
 
Ghai,,,nakumbuka nishawahi enda kwa rafiki angu,kwao walikua wanajiweza bwana wali ni kitu cha kawaida,kunikaribisha mimi na viaibu nikakataa nayeye asinibembeleze,akatoka kwenda kosha vyombo sangapi nisiingize mkono kudokoa.
 
Back
Top Bottom