Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kikubwa ilikua shibe masimango kwa sisi vijana wa kipindi kile haikua big deal sanaNa mama yangu alikua dicteta unakula ubwabwa wa kitumbo huku unasimangwa
Kikubwa ilikua shibe masimango kwa sisi vijana wa kipindi kile haikua big deal sanaNa mama yangu alikua dicteta unakula ubwabwa wa kitumbo huku unasimangwa
Na mama alikua ananitupia mimi zaidi majungu kwa sasabu tulikua watoto wa mama na wa mama mkubwa mke mkubwa wa mzee ambae alishafariki kitambo na karibu wote tulikua karibu marika🤣Kikubwa ilikua shibe masimango kwa sisi vijana wa kipindi kile haikua big deal sana
hadi sasa hivi kuna watoto wanapenda wali kuliko ugali, ugali wanaringa sana kula wanataka waliUtotoni ugali ni adui wa familia, iliitwa cheka na watoto.
Itakua kuna namna ulikua sturbbon😁afu watoto wa maza mkubwa walikua humble mazaako akawa anawish uwe kama wale tatizo lako ukawa bize na ubwabwaNa mama alikua ananitupia mimi zaidi majungu kwa sasabu tulikua watoto wa mama na wa mama mkubwa mke mkubwa wa mzee ambae alishafariki kitambo na karibu wote tulikua karibu marika🤣
Kumbe hobby yako ya upishi haijaanzia uzeeni 🤣😂.Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
Ni maisha tu,kuna muda life siyo gumu kihiiivoMambo yamebadilika sana naona hata wali wenyewe haunukiii vizuri kama kipindi kile sijui ni mchele hybrid, mapishi au tumeuzoea sana
Hiyo Ni Kwa Kila Mmoja Labda Ambae Amekulia Ushuani. Yaan Hajashiliki Mapishi ya NyumbaniKuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
Itakua ni swaga za mama yangu kutaka kuonekana sio mama wa kambo tu , sie wa kwake tulibamizwa kama ngoma, ila kwa sasa tunabamizwe wote tu kila mmoja aliza atume pesa 5% ya kipato chake kwake na hataniii wala hacheki ya yeyoteItakua kuna namna ulikua sturbbon😁afu watoto wa maza mkubwa walikua humble mazaako akawa anawish uwe kama wale tatizo lako ukawa bize na ubwabwa
Ngoja vijana wa juzi Poor Brain Monetary doctor Nomadix na Al-mukheef waje kubisha kama hatujawatia stiki za kutosha.Zamani mchele utauonea wapi bei yake ilikia ni mara 3 ya unga, unga ilikua kilo ni Tsh 50/= mchele kilo ilikua ni Tsh 150/= hii 150 ukiwa nayo ilikua unaweza kununua baiskeli mpya, kwahiyo kilo moja ya mchele ilikua ni sawa na bei ya baiskeli
ni kweli mchele ulikuwa hauzoeleki wakati huo. Sherehe nyingi ziliishia kula ugali wa sembe nyeupe pee na makande. Ikitokea sherehe kuna wali basi mtapangwa makundi ya watu kuanzia watano na kuendelea kisha mnatengewa sinia au karai la wali mle. Ulaji wenyewe mnakula kwa fujo, wadogo wanapunjika maana wakubwa wanamega matonge makubwaZamani mchele utauonea wapi bei yake ilikia ni mara 3 ya unga, unga ilikua kilo ni Tsh 50/= mchele kilo ilikua ni Tsh 150/= hii 150 ukiwa nayo ilikua unaweza kununua baiskeli mpya, kwahiyo kilo moja ya mchele ilikua ni sawa na bei ya baiskeli
Haya mambo ya mama wa kambo ni siku hizi tu zamani wote dabi dabi mnapiga kazi kama wafungwaItakua ni swaga za mama yangu kutaka kuonekana sio mama wa kambo tu , sie wa kwake tulibamizwa kama ngoma, ila kwa sasa tunabamizwe wote tu kila mmoja aliza atume pesa 5% ya kipato chake kwake na hataniii wala hacheki ya yeyote
Tena hata kutumwa anatumwa kaka mwenye akili ili asije kumwaga kipindi hiko mifuko ya rambo. Ubwabwa ulikua unanukia balaaWewe ni kijana wa 2000 itakuwa , zamani zetu huo mchele wa mpaka wewe utumwe ukaupime utakua umefanya jambo la ushujaa kijiji kizima🤔
Kabisa zamani hizo mama anafurahia kuwapiga mtungo kwenye kazi zake zisizo isha.Haya mambo ya mama wa kambo ni siku hizi tu zamani wote dabi dabi mnapiga kazi kama wafungwa
Wewe ni kijana wa 2000 itakuwa , zamani zetu huo mchele wa mpaka wewe utumwe ukaupime utakua umefanya jambo la ushujaa kijiji kizima
Honestly nyumbn ilikuwa kawaida sana, japo sio kila siku Ila hatujawah ku concentrate kwenye mapishi ety siku wali umepikwa nat,ni kweli mchele ulikuwa hauzoeleki wakati huo. Sherehe nyingi ziliishia kula ugali wa sembe nyeupe pee na makande. Ikitokea sherehe kuna wali basi mtapangwa makundi ya watu kuanzia watano na kuendelea kisha mnatengewa sinia au karai la wali mle. Ulaji wenyewe mnakula kwa fujo, wadogo wanapunjika maana wakubwa wanamega matonge makubwa
Yani mama yangu hadi ratiba ya leo kipikwe nini ilikua ukutani , akianza mharage ni ndizi maharage za kusonga, ugali maharage , makande maharage, kuna mahindi ya maharage ya kichaga yanaitwa ngararimo, mara kiburu nacho ni maharage ya kusonga, akitoka hapo anapika mtango wa maharage wa kirombo tofauti ni huu hauna magadi tu😛Tena hata kutumwa anatumwa kaka mwenye akili ili asije kumwaga kipindi hiko mifuko ya rambo. Ubwabwa ulikua unanukia balaa
Kuna mwamba alishawahi kula wali hadi akashindwa kusimama kurudi kwao akaanza kurudi kwa kutambaa, maana wali haikua ni chakula cha kawaida kama siku hizi ilikua ukiona wali unakula hadi tumbo likaribie kupasuka maana hauna uhakika kama utawahi kuuona tenani kweli mchele ulikuwa hauzoeleki wakati huo. Sherehe nyingi ziliishia kula ugali wa sembe nyeupe pee na makande. Ikitokea sherehe kuna wali basi mtapangwa makundi ya watu kuanzia watano na kuendelea kisha mnatengewa sinia au karai la wali mle. Ulaji wenyewe mnakula kwa fujo, wadogo wanapunjika maana wakubwa wanamega matonge makubwa