Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Yanga ya Zahera ilikuwa mbovu kiuchumi na wachezaji na kushika nafasi pili sio jambo rahisi. Imagine mpaka muombe ndio wachezaji wale wasafir....
Hilo ndilo lengo la Yanga kushiriki ligi kuu ? halafu mbona Jack Chamangwana alibeba hadi ubingwa lakini hakuwahi kusifiwa kama huyu anayeshika nafasi ya pili ? hapa kuna kitu .
 
Akiwatoa Rollers ndipo nitamuheshimu otherwise he is simply both useless and hopeless
 
KWA SABABU ANAWASAIDIA MASIKINI AMBAO HAWANA NAMNA KWA HIYO NI BORA KWAO LAKINI QUALITY YAKE NI NDOGO KULIKO JINA LA TIMU!

YANGA WANGEKUWA NA PESA, ZAHERA ASINGEFUNDISHA PALE
 
Anafanya kazi mbili kwa pamoja, kufundisha mpira na kuwa msemaji wa timu

ulaya ndivyo ilivyo.. hujui zahera amefundisha ulaya, na makazi yake na familia yake ni ufaransa...

club zote kubwa majuu na hata africa kocha ndie msemaji wa timu.. maana ndie anaijua timu yake
 
Usifanye masihara na vumbi la Congo dem lazima akutake tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli upi anaousema, kwamba Uganda walipulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kule Egypt kwenye AFCON?
 
Reactions: Tui
Uzuri wake nijinsi anavyoweka mdomo wake akiongea kama naniliu ya kuku
 
Reactions: Tui
Ole gunner na Lampard wana daraja lipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…