Kwanza acha upotoshaji Zahera hajafundisha Timu ya Dision 5 , Nilicho kufahanisha ni kwamba Zahera amefundisha Belgium na France tena kama kocha mkuu. Sasa kama izo timu hazipo katika izo nchi ningekua mpotoshaji kama wewe. Uka zungumzia amefundisha timu za amature nika kuuliza Afrika kunaligi ngapi za kulipwa? Wewe binafsi unamchukia Zahera ila bila kupepesa maneno CV na Utendaji wa Zahera ni wa kiwango chajuu kwa apa nchini hasakwa maendeleo ys Soka letu.
Yanga imepata kocha wa kiwango cha Uefa hakuna mpenzi wa Yanga ambaye alijua hafahamu mapungu ya timu lakin Zahera aliweza ku balance nakama si fitina za bongo Yanga ingekuwa bingwa.
Unajua nini kingetokea kwa Simba!! Uchebe angefukuzwa, Manara angefukuzwa, Mwekezaji ange kimbia, Wanachama wa Msimbazi wasinge elewa lolote kwa timu ya Bilion tatu na nusu kukosa ubingwa.
Sasa tusubiri tuone msimu huu tayari mmeshaingia mchecheto kwakua mnajua Zahera atafanya yake.
[Tueleze hizi timu za division ipi?Kama sio division 5 na amateur?
Hoja haikuwa timu za Africa. Wacha kuhamisha magoli na kuzungumzia Manara au Aussems.
Fitina zipi?Yanga haikushindwa kwa pointi 7.
Sipo hapa kusikiliza majungu au hadithi za kahawa.Leta facts.
Zahera amechukua kombe la ubingwa wa Nchi na timu gani?
Kocha mzuri anahukumiwa na mataji sio bla bla. .